Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Hawazimi kamwe! Mapato hakuna watajiua wenyewe!! Watatoa mwaka mzi tena! Makampuni ya simu wasaidie kwenye hilo zoezi kupunguza hizo simu fake
 
Ndoto yako ni ya kweli mkuu, kilichobaki ni jukwaa la kuzungumzia usitishwajiwa zoezi hil hadi simu bandia zizeeke zenyewe! Eee Mungu, Tulikukosea nini wana wa Tangannyika sie!
 
Hata mimi ninayo simu nagu moja ni fake lakini bado inapiga mzigo , network inasoma freeesh
labda bado ipo kwenye foleni ya kushughulikiwa. kuna jirani yangu alifurahi kuona simu yake imevuka salama saa6 usiku bila kuzimwa, lakini leo asubuhi mida ya saa mbili ikazimia kama sio kufa. imebaki kama mashine ya calculator na kusikiliza music
 
Jamani hii kitu ni kama ile ya Y2K ile mwisho wa 99 kuna watu walineemeka. Hakuna ninayemjua ambaye simu yake imezimwa mpaka muda huu.
 
Mkuu kazi ishaanza huku mtaa wa pili watu washalia
 
Wadau,naomba tupeane taarifa juu uhalisia wa zoezi la kuzima simu bandia maana kuna taarifa kwamba zoezi hilo ni magumashi tu.Kutokana na mkanganyiko huo kama umezimiwa simu tupia picha hapa ili tujiridhishe.Naomba uzi huu usiunganishwe.
 
Hamna lolote ni kelele za chura hazimzuwii mteka maji kisimani mimi niko na kimeo chango fake hapa nawasikiana na ndugu jamaa na marafiki
 
Yangu ni Fake,nimeweka line ya Tigo, imekataa, nikaweka ya Hallotel imo! na ndio hii ninayotumia!!..
 
Back
Top Bottom