Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
MFYUUU TBS WALIKUWA WAPI NA WAKO WAPI? KWA WATZ HZ SIMU ZITAENDELEA KUTUMIKA TU HAKUNA NINI WALANINI!Hivi mkuu ile mitambo ya analogia ilizimwa?
Mimi kwa upande wangu kuzima simu fake ni jambo la muhimu sana kwakua hizi simu zina madhara si tu kiafya bali na katika Usalama katika jamii yetu.
Simu fake zina IMEI fake amabazo hazitambuliki hivyo ni rahisi sana mtu kufanya uharifu bila kugundulika akitumia simu fake.
N.B.
Ila nashauri serikali ingejizatiti zaidi kwenye kuzuia matatizo kuliko kusolve matatizo ambayo tayari yamekwishatokea.
