Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

siamini kama bongo watamudu hiyo teknolojia; huku ni bado, bado, bado sana.
 
nchi ya kukurupuka hii. . Wacha movie iendelee tutashuhudia mengi sana
 
Nimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.

MREJESHO
Leo tarehe 17 June 2016 simu yangu bado inashika network. Nimejaribu kupiga simu inafanya kazi vizuri kabisa.

Wengine tupeni mrejesho maana mimi huku nimesha anza kusherekea.
mm nadhani yawezekana huo mtambo waliokua wakiutumia kuzimia simu fake pia na wenyewe ni fake maana sioni impact yake
 
Back
Top Bottom