Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Sasa naanza kuelewa nape alivyosema tz akuna wataalamu wa IT ndo tatizo wenye uwezo wako bench ****** watt wa vigogo kazi za kupeana wako mzigoni nw wanaushangaa mtambo kumbe ata kuuona usikute awajawai
Mkuu hapo kwenye nyota nyota kulikuwa na neno gani?
 
Screenshot_2016-06-17-00-21-21.png
Screenshot_2016-06-17-00-12-04.png
 
Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.

Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!
Inawezekana unaongea masihara mkuu, lakini nikuhakikishie kwamba, simu yangu haina IMEI totally. Ni Sony Experia (double lines).

Sa sijui ikoje hapa
 
Hawa jamaa wakikosa kidogo tu wanaweza wakazima simu zote, fake na original na wakashindwa ku retrieve from dustbin. Kesho nchi zima kukawa hakuna simu yo yote inayofanya kazi.

Tuombe Mungu wataalamu wetu wasije kukosea wakazima hata ATM zetu!
 
Hii kazi wangepewa tanesco ingekuwa imekamilika tokea mwaka Jana.
...hahahahaha..nani kwanza mwenye huo uthubutu wa kuzima simu feki wakati mademu zao hadi michepuko yote feki kuanzia nywele hadi ngozi!
...wabongo sound mvua tu!
 
Hawa jamaa wakikosa kidogo tu wanaweza wakazima simu zote, fake na original na wakashindwa ku retrieve from dustbin. Kesho nchi zima kukawa hakuna simu yo yote inayofanya kazi.

Tuombe Mungu wataalamu wetu wasije kukosea wakazima hata ATM zetu!
Umenivunja mbavu aisee. Watu mnavituko!!!!!
 
Hiki kiini macho kimewalaza macho watanzania CCM ikiendeleza utapeli wake kwa wananchi safari hii ukichukua mioyo ya watanzania wengi waliokua wana shauku ya kutaka kuhakikisha kama kweli zitazimwa.


Mimi leo nilikua na Devices Fake pamoja na hii simu ninayotumia kuandikia lakini hazijazimwa.
 
Back
Top Bottom