Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Mkuu tabutupu,January mwaka huu nilinunua techno H6 Mwanza.ilikuwa na matatizo mengi sana.muda mwingine inachemka kama jiwe,ukifunguwa app kama watsap inachukuwa dakika 5 kuzunguka tu......yaani ilikuwa full kimeo.TCRA waliponielimsha kuchek nikapata ni feki kabisa.udijidanganye kuwa kuna brands ambazo ni orijinal 100%,infact brands zinazoaminika ndizo maranyingi matapeli wanatumia kulaghai wateja.
 
Wameogopa kuungana na 666 imebidi wasogeze mbele hiyo namba ni ya mpinga Kristo
 
wakuuu tunaomba mrejesho kwa waliofanikiwa kuzimiwa simu na TCRA watuambie nini hasa kimetokea baada ya kuzimwa
Bila shaka yako itakuwa imezimwa, tupe mrejesho pia mkuu
 
ah hamna ht mmoja alolalama mbona ht me kafek kapo tu hapa kanapga kaz
 
Ndugu bwana JF tcra wamesema watazizima simu zote feki saa sita usiku.Mbona baadhi wanadai simu zao ni feki lakini zipo na zinafanya kazi?Je,nikweli hawa jamaa wamezizima au wanaosema simu zao feki na bado zinafanya kazi walishindwa kuzitambua tu kama hizo nazo ni original.Mwenye kuijua simu feki yoyote iliyizimwa atupe ushuhuda.
 
Hata yangu bado ina dunda nacho hofia wasije wakazima paka og maana kama wameziacha fek ina maana kuna tatizo.
 
wakuuu tunaomba mrejesho kwa waliofanikiwa kuzimiwa simu na TCRA watuambie nini hasa kimetokea baada ya kuzimwa
Ikiwa mtu anatumia simu fa ke, kuna uwezekano mkubwa wa kutomiliki pc, so ni vigumu kuleta mrejesho, vinginevyo tusubiri ubuyu toka kwa wapambe, wataripoti kwa niaba yao
 
88176fafe07c94daf36f8cda14a0ee83.jpg
mtandao mbn unasoma kweny mnara hapo
 
Back
Top Bottom