HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,205
Hahahahaaa! Mkuu wamekaotea
Hahahahaaa! Mkuu wamekaotea






Usiku ni hatari utakuwa umevaa zana za kazi tayari kuingia makaburini, i sa y no to youuu![]()
![]()
![]()
![]()
njoo chalinze basi
Chalinze nna kibanda mkuu ukivuka mnda pale makazi karibuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
njoo chalinze basi
Yeye kaandika viZuri simu yake ndio imemzinguaMkuu umeingia kitandani saa ngapi? Huo uandishi wa saa ni mgeni hapa nchini.
Nielekeze tasavaliChalinze nna kibanda mkuu ukivuka mnda pale makazi karibuu
Kwanini wanakuwa hivi hawa jamaa!Hapa tumemaliza kuchek game hatujaondoka tupo mob ila hakuna hata moko ilozima waongo bhana
Kuna zilizoanza tayariKwani walisema zinazima zote kwa pamoja au moja moja?
Tuonane kwanza mkuu usijeenda weka tunguli sako huko nikose wapangajiNielekeze tasavali
Hahahaa peruzi mzeeTCRA kumbe waongo hivi? Ngoja niweke bundle
Na yanguYangu ipoooo
Leo utawasikua wanakuja na swagz ya uongo.Jamaa waongo sana!