Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo
430615db541eb94305fd3c27653afcbd.jpg
54639a4f587a961997fd5c08cde08986.jpg

Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam hiyo hapo juu

===================

TANGAZO

180681_158735330845567_2210285_n.jpg

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2016.

Barua zilizoainisha sifa za kijana kujiunga na mafunzo ya JKT zimetumwa kwa Waheshimiwa Wakuu wa mikoa. Mchakato wa zoezi la kuwapata vijana wenye sifa unaanza Aprili 2016 hadi tarehe 20 Mei 2016.

Sifa za mwombaji ni kama zifuatazo:-

1. Awe raia halisi wa Tanzania.

2. Umri. Kwa vijana wenye elimu ya Darasa la saba hadi kidato cha sita ni miaka 18 hadi 23.Vijana wenye elimu ya Stashahada umri ni miaka 18 hadi 26 na Vijana wenye elimu ya Shahada na kuendelea umri ni miaka 18 hadi 30.

3. Awe na afya njema, akili timamu.

4. Asiwe na alama yeyote ya michoro mwilini (Tattoo).

5. Mwenye tabia nzuri, hajapatikana na hatia Mahakamani na hajawahi kufungwa.

6. Kwa vijana waliomaliza elimu ya Sekondari kidato cha nne wawe waliomaliza kuanzia mwaka 2010, 2011, 2012, 2013 na 2014 wenye ufaulu ufuatao:-

(a) Waliomaliza 2010 hadi 2012 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 32.

(b) Waliomaliza 2013 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 38.

(c) Waliomaliza 2014 wawe wamefaulu na wawe na GPA isiyopungua 0.6.

7. Awe na elimu ya msingi aliyehitimu darasa la saba.

8. Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).

9. Awe na cheti halisi cha kumaliza shule (School Leaving Certificate)

10. Awe na cheti halisi cha matokeo (Original Academic Certificate/Transcript).

11. Asiwe ametumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au KMKM wala kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.

12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.

13. Asiwe amejihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, bangi na yanayofanana na hayo..

Waombaji wenye sifa wapeleke maombi yao kwa Waheshimiwa wakuu wa mikoa. Makao Makuu ya JKT hayatapokea na hayapokei maombi yoyote, kwa vijana watakaoomba nafasi hizo wazingatie maelekezo yatakayotolewa kuepuka usumbufu.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Habari na Uhusiano

Makao Makuu ya JKT

Tarehe 05 Aprili 2016

Chanzo: TANGAZO MAALUM VIJANA WA KUJITOLEA 2016

Nakubaliana nawe kabisa,mwezi march mwaka huu,nilikuwa naongea na enginear mmoja toka Kenya,ambako wenzetu zoezi lilifanyika miaka michache la kuzima simu fake,akasema ndugu yangu hakuna cha simu fake wala nini,simu zote zinadunda kama kazi. Sijajua rafiki zangu wa TCRA walikuwa wanatafuta kick ya ninip
 
Zitozimwa nyingi za masista duh!! Kuna masista duu wamelizwa sana kwa kupenda vitu vizuri na wanakutana na wasanii wa lumumba kwa kununulia simu fake kwenye box lake akishaliwa tu inakula kwake
Afu wenyewe na masimu yao walikuwa wanajitanuuuua sana humwambii kitu
 
Hapo Ndipo Utaona Tofauti Ya Tanzania Na Kenya, Bongoland Propaganda Zinazidi Nguvu Ya Ukweli.
Pamoja Na Kwamba Ya Kwangu Haijazimwa, Pia Ni Original Lakini Kuna Dogo Kisimu Chake Ni Fake Ametoka Kunipigia Simu Akidai Bado Yupo Yupo Sana Hewani
 
Siyo kibarua tu mkuu, huyu Nyani Ngabu huwa anaosha mbupuma za vibabu vya kimarekani! Bpra nibaki kwetu nile vumbi kuliko aibu hii! Na vibabu vya kizungu vinavyonuka sasa mmmhhhhh!!

Mwingine huyu anajifariji kwa mambo ya kusadikika na kufikirika!

Mweh!
 
Hapo Ndipo Utaona Tofauti Ya Tanzania Na Kenya, Bongoland Propaganda Zinazidi Nguvu Ya Ukweli.
Pamoja Na Kwamba Ya Kwangu Haijazimwa, Pia Ni Original Lakini Kuna Dogo Kisimu Chake Ni Fake Ametoka Kunipigia Simu Akidai Bado Yupo Yupo Sana Hewani
unasimi feki ambayo aijazimwa???
 
mkuu simu zote zina imei,ila tcra hawana imei zote fake na pia wasiwasi mwingine ni kuwa tcra hawakufanya test za kueleweka , na leo aibu hii hawawezi ikwepa.
Simu yako ni aina gani??
Usije ukawa una techno au huawei afu unaimba kwamba ni fake. Tuambie kwanza unatumia simu gani kabla ya kutupigia makelele hapa
 
9050d8798d884c8eafe8acfeed012382.jpg
Ya kwangu ambayo nilikuwa natamba nayo na kutukana nayo watu hapa JF sasa hivi inaandika hivi!
 
Nimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.

MREJESHO
Leo tarehe 17 June 2016 simu yangu bado inashika network. Nimejaribu kupiga simu inafanya kazi vizuri kabisa.

Wengine tupeni mrejesho maana mimi huku nimesha anza kusherekea.
vp na leo mkuu inaendelea kupga kaz?
 
Back
Top Bottom