Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Mambo ys mwendo kasi hays....hawakujipanga juu ya hili Bali ilikuwa ni kutoa vitisho tu
 
Nina Kanokia kangu kamchina double line ambacho natumiaga kama backup ya chaji na tochi,naona line namba mbili wamekula kichwa nasubiri namba moja sasa.
 
Zile simu ambazo zilikuwa hazionyeshi IMEI namba tuliambiwa ni feki kikiwemo kisimu changu kimojawapo. Nimeuliza watu kadhaa hadi hivi sasa wanasema pamoja na simu zao kutoonyesha namba hiyo hazikuzimwa.

Sasa najiuliza yalikuwa maigizo? Au ilikuwa kuzima mjadala wa sukari na bunge live? Tuombe majibu toka TCRA maana walishatutisha kwamba kukaa na simu hizi ni hatari kwa afya na mazingira
 
Nadhani waliopewa kazi ya kuzima sio wazoefu.
Hiyo kazi wangepewa TANESCO, ingeshakuwa historia.
 
Back
Top Bottom