Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

e911d0d902fd9cfbe21165c78e8eddba.jpg
 
Busara imetumika. Muhimu kudhibiti kuingia simu feki nchini na kuhakikisha simu zilizopenya hazi sajiliwi.
 
Mboni thimu yangu feki ya "Yong Ching" haijazimwa?!
Au ndo kiki mpya?
 
Simu ukiodolea jicho ili uone ikizima hata kama ni feki haitazima ng'o. Jaribishia uone.
Ila utakapolala tu utaamka si yako-itakuwa imeshopoteza network.
 
Watu waliambiwa simu ni fake lkn hadi sasa wapo hewani....
TCRA mmetishaaaaaa
 
Mboni thimu yangu feki ya "Yong Ching" haijazimwa?!
Au ndo kiki mpya?
TCRA ilikuwa inataka kuvuta attention ya wabongo. Hamna kitu kinachozima-kesho watakuja na swaga za "zoezi hili limekuwa gumu kutokana na ..."
 
Back
Top Bottom