Hii simu nilinunua wakati wa Kikweteha ha ha subiri mpaka semester ijayo
😀😀😀😀 doh!Mimi simu yangu haina imei kabisaaa na bado ipo hewani kama kawaida.
Labda sikuelewa walituomba tuzime wenyewe!!!
Zitozimwa nyingi za masista duh!! Kuna masista duu wamelizwa sana kwa kupenda vitu vizuri na wanakutana na wasanii wa lumumba kwa kununulia simu fake kwenye box lake akishaliwa tu inakula kwake
NASHUKURU MUNGU YA KADEMU KANGU IMEZIMA ILA SIMU YANGU WAMEZIMA TOCHI TU HALAFU HAICHAJI😀😀😀😀 doh!
Kama ni waongo hiyo yako e restart alafu uone kama itawaka alafu njoo ulete mrejesho. Yaani labda isizime chaji au kuzima ikizima tu imekula kwako hakikisha maisha yake yote haizimi ikiwa ni fakehawa watu waongo wa kupindukia aiseee

Tusiwe na papara tusubiri kidogoInawezekana unaongea masihara mkuu, lakini nikuhakikishie kwamba, simu yangu haina IMEI totally. Ni Sony Experia (double lines).
Sa sijui ikoje hapa
Hadi sasa ipo hewaniiihahahaha tusubiri tuoneee aiseee