Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Tangazo la TCRA lilisema mwisho wa kutumia Simu Feki ni hii leo tarehe 16/06/2016 usiku na saa Sita kamili zitazimwa, je ni wangapi simu zao zimezimwa?

Naomba tufanye Sensa hapa
zangu zote mbili zipo..... ama ilikuwa mikwara?
 
Habari zenu? Hivi vigezo gani vinatumika kuzima simu fake? Maana yangu ni fake na nilikuwa na hamu ifungiwe ili niepuke kulipa kodi ya mitandao ya simu sasa cha ajabu naona ni saa 6 na dk 17 usiku lakini hawajazima tu hii yangu.
 
Back
Top Bottom