Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Haya yananikumbusha historia ya ukombozi wa wa Zanzibar. Vyombo vya dora vilitishwa mara kadhaa wakajipanga lakini halikutokea lolote, siku waliyokata tamaa jamaa wakafanya kweli.
 
Huu udharimu na uhuni wa kutumia polisi punde utakuwa historia

Unaota. Hata Mbowe akiwa mtawala atatumia polisi tu. Ujinga wenu chadema hamuangalii historia za nchi nyingine. Leo hii anasema katiba ni mbaya na kandamizi, akiingia madarakani ataipenda na kutamani iboreshwe tena kama alivyoboresha ya chadema ili aendelee kutawala, kumbuka Mwai Kibaki alipokuwa upinzani, aliahidi katiba haraka alivyopata tu madaraka akashikwa kigugumizi, we unajua yaliyijiri. Tumia akili mnatumiwa na Mbowe kwa manufaa yake na familia yake, mtakuja kumbuka haya siku moja.
 
Haya yananikumbusha historia ya ukombozi wa wa Zanzibar. Vyombo vya dora vilitishwa mara kadhaa wakajipanga lakini halikutokea lolote, siku waliyokata tamaa jamaa wakafanya kweli.
Ukombozi kutoka wapi? Ninachojua Zanzibar kulikuwa na mapinduzi
 
mabadiliko yanagharama zake lazima watu wafe kwa ajili yawengine chondechonde uhai ni tunu yako
 
Unaota. Hata Mbowe akiwa mtawala atatumia polisi tu. Ujinga wenu chadema hamuangalii historia za nchi nyingine. Leo hii anasema katiba ni mbaya na kandamizi, akiingia madarakani ataipenda na kutamani iboreshwe tena kama alivyoboresha ya chadema ili aendelee kutawala, kumbuka Mwai Kibaki alipokuwa upinzani, aliahidi katiba haraka alivyopata tu madaraka akashikwa kigugumizi, we unajua yaliyijiri. Tumia akili mnatumiwa na Mbowe kwa manufaa yake na familia yake, mtakuja kumbuka haya siku moja.
Ni kweli Mkuu. CHADEMA wanaponzwa na kitendo cha kutotumia akili kufikiri. Huwezi kutukana vyombo vya Dola ilhali ndo unavitegemea kwa kila kitu
 
wangekuwa wamepewa kazi na jk usingewaona hapo

Sio kila kazi lazima upewe na Rais, hata marekani bado ajira hazitoshi na sio lazima uajiriwe kama huwezi kulima mjini unafata nini? Mbona waliopo kwe ajira binafsi ni wengi tu! Acha uvivu
 
Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu. Washughulikiwe.

Unatoa wito huku ukiwa umejificha kwenye mahandaki nani atakusikiliza.
 
Back
Top Bottom