Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

ushabiki wa kijinga kweli huu, sasa mbowe kwenda makao makuu ya polisi nayo ni breaking news???
Breaking News ni hayo matendo yanayohusiano na hilo tukio.Reaction ya polisi ,na CCM imefungua watu macho sana.In Reality Chadema this time wameamua kuwaweka polisi mahali pa kujivua nguo.
 
mikusanyiko ya kihuni iliyoratibiwa na chadema maeneo mbalimbali nchini hsusan dsm ambapo wahuni hao walimfuata mbowe imetawanywa na polisi. taarifa rasmi zilizopatikana zinaeleza kuwa mikusanyiko midogo midogo imeonekana makao makuu ya polisi huku wahuni hao wakiwa wamevalia suruali zilizolegea matakoni huku wameshikilia maji mikononi mwao. kitendo hicho cha polisi kuwadhibiti wahuni hao kimepongezwa na wananchi walio wengi ambao wanapenda amani iendelee kutawala hapa nchini.

my take; wapigwe tu

Kabra ya kuandika hicho ulichoandika ungejiuliza hao unaowaita wahuni ni watanzania au sio watanzania? then je ni watu waliofikisha miaka 18 au bado? ukipata jibu usinijibu majibu rasmi utayapata November 2015.
 
Jeshi la polisi kwa style hii ya kuegemea chama kilichochoka na kupoteza umaarufu kabisa kwa umma ni kukiumiza kabisa chama tawala kuliko kukisaidia.

What i can see ahead is natural demas for ccm in Tanzania.
Polisi wamenasa kwenye mtego ambao ni wa kisiasa CHADEMA Wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kucheza na kusumbua taasisi na mifumo dhaifu katika nchi hii.

Haya maandamano yanapata mashiko zaidi kwasababu ya polisi kuisaidia ccm kukandamiza umma.
 
yes mkuu, na u-jobless wao umesababishwa na serikali dhaifu ya chama cha mapinduzi.

Nani amekwambia kuwa serikali inatoa ajira zote kwa watu wake we acha kujishughurisha eti unasubiri serikali wakuletee ajira utachina.
 
Tuje basi na majibu basi ya hili tatizo la kwanini vijana wanashiriki maandamano.

kwanza hawana kazi,pili wanaichukia serikali yao,huenda ni kwa sababu ya baadh ya madhambi ya serikali yao hasa rushwa na kushindwa kutatua matatizo yao,kingine ni umaskin wana hasira kwa sababu ya umaskin na wanaamin hawana cha kupoteza,ila siasa za sasa na yanayoendelea vijana wamekua wakipata taarifa za mambo mengi sana,
 
Polisi wana hamu sana ya kumwaga damu za raia,maandamano ni haki za raia wenye madai,sasa wanavunja shreia gani?Huu ukandamizaji wa haki za binadamu unapuuzwa mda huu,baadaye tutajuta
 
Nani amekwambia kuwa serikali inatoa ajira zote kwa watu wake we acha kujishughurisha eti unasubiri serikali wakuletee ajira utachina.

gsu serikal ndo mwajiri namba moja,lakin pia serikali huandaa mazingira ya aidha watu kuajiriwa au kujiajiri,
Kwa Tanzania let say vijana wanaweza kujiajiri via KILIMO,je kuna benk ya kilimo??,je kijana anakopesheka???,pia hao wawekezaj wanaokuja wengi ni uchwara,serikali ihimize wawekezaj wa viwanda ili kuwe na viwanda vya kutosha na vitoe ajira,sasa bongo hapa mwekezaj anakuja anafungua warehouse
 
Last edited by a moderator:
Nimesikiliza kipindi cha tuongee asubuhi leo star tv, japokuwa mchambuzi ni gamba lakini amesema kweli kuwa toka 2010 mpaka sasa Civil disobedience imekuwa sana Tanzania.
Nikifikiria sana ni kutokana na polisi kuonyesha wazi wazi kuisaidia ccm jambo ambalo ni hatari sana siku za usoni,, Kwanza hii inafanya CHADEMA Imaarufu wake uongezeke tena kwa kasi na kuiumiza zaidi ccm kuelekea uchaguzi mkuu

Kwa ccm kutumia polisi kufanya siasa zake itasababisha mwakani uangukie pua na kuipaisha CHADEMA Maana kwa sasa chama kina mtandao nchi nzima.
 
Eleweni kama MTU anamsindikiza mwenzie we we unatumia risasi name Bomu huku police nani anavuruga amani ?WAKATI WA UKOMBOZI UMEFIKA
 
Mi mbona sijaona balaa lolote, pako shwari tu. Polisi wametanda, wapo na gari lao la maji ya kuwashawasha lkn shughuli zinaendelea kama kawaida. Hakuna vurugu labda mleta mada aweke picha zaidi za kuonyesha hilo balaa.
 
Jeshi la polisi kwa style hii ya kuegemea chama kilichochoka na kupoteza umaarufu kabisa kwa umma ni kukiumiza kabisa chama tawala kuliko kukisaidia.

What i can see ahead is natural demas for ccm in Tanzania.
Polisi wamenasa kwenye mtego ambao ni wa kisiasa CHADEMA Wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kucheza na kusumbua taasisi na mifumo dhaifu katika nchi hii.

Haya maandamano yanapata mashiko zaidi kwasababu ya polisi kuisaidia ccm kukandamiza umma.

mdau kuna maneno aliwahi kuyasema shemej kwenye mkutano mmoja wa ccm 'CCM MSITEGEMEE POLISI'
 
Ipo siku utajua nini maana ya ugaidi na magaidi nikina nani na wanafanyaje kazi zao na nihatari kiasi gani.
Ni kweli Mkuu. Ugaidi wanaoutaka ukitokea ndo wa kwanza kukimbia nchi. Wawaulize wenzao wa Kenya watawapa definition ya ugaidi
 
Sio kwamba mtaongeza yatima?

Wewe gamba nyie ndo mnaua watanzania kila siku hakuna dawa hospitali halafu eti mnalipa mbunge wa bunge la katiba laki 3 kwa siku ba mnajua hakuna katiba mpya.
Nyie ndo mnaamuru polisi wauwe waandamanaji wasiokuwa na hatia
 
Back
Top Bottom