ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Hivi bado hajafika hapo polis
Mbowe anafanya siasa za kitoto sana, kwa akili yake ndogo hapo anafurahi kuwa umaarufu unaongezeka.
akili za kushikiwa hizi
why aisende mwenyewe sasa
watu hawajaamua hata kutoka majumbani kuandamana - tayari mcheche kibao - cdm ni balaa!!
Watu hawajaamua hata kutoka majumbani kuandamana - tayari mcheche kibao - CDM ni balaa!!
akili za kushikiwa hizi
why aisende mwenyewe sasa
Na wewe nenda kapambane, sio unahamasisha wenzio wakafanye fujo.
akili za kushikiwa hizi
why aisende mwenyewe sasa
Ukifuatilia hapo wote ni majobless...
Mkuu, namfahamu vema Mkuu MSALANI. Usifikiri mtu akifanya kazi mitandaoni basi anakuwa jobless. Wengine hizi ni hobbies tu huku wakiendelea na majukumu yao ya kila sikuKwani wewe kazi yako ni ipi?
Siku za kazi, badala ya kusaka noti wewe unamkingia kifua mwanaume mwenzio?
Mkuu, una utani na Mbowe wewebora hilo kuliko kufia kifuani kwa mwanamke
Njia muafaka unayoijua wewe ni ipi? ndani ya nchi hii Polisi ni wa CCM, mahakama za CCM kwa hiyo tunaomba ushauri wako sehemu murua ya sisi kudai haki zetu.