makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Mhuuuu ...kama ya kweli basi watakuwa wamewazidi ujanja na hapo mtu atapoteza cheo.
[h=2]Wapigwe tu ya Pinda, sasa ifanye kazi.[/h]Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu.
Washughulikiwe.
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?
Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.
Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.
Utamzika mama yako kwanza...
Na wewe nenda kapambane, sio unahamasisha wenzio wakafanye fujo.
Maandamano sio njia muafaka ya kudai haki
Maandamano sio njia muafaka ya kudai haki
Kuwazika akina nani??Natamani tuzike baadhi kuanzia kesho jamani
Na wewe nenda kapambane, sio unahamasisha wenzio wakafanye fujo.