Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

mikusanyiko ya kihuni iliyoratibiwa na chadema maeneo mbalimbali nchini hsusan dsm ambapo wahuni hao walimfuata mbowe imetawanywa na polisi. taarifa rasmi zilizopatikana zinaeleza kuwa mikusanyiko midogo midogo imeonekana makao makuu ya polisi huku wahuni hao wakiwa wamevalia suruali zilizolegea matakoni huku wameshikilia maji mikononi mwao. kitendo hicho cha polisi kuwadhibiti wahuni hao kimepongezwa na wananchi walio wengi ambao wanapenda amani iendelee kutawala hapa nchini.

my take; wapigwe tu
 
Maandamano siyo kitu kizuri, wafikirie kutaka haki mahakamani na kama hakuna haki tuisubiri hiyo katiba ya chama tawala tuipige chini, kuanndamana no.

utaipigachini kwa namna gani ikiwa imeshapitishwa na watu wa ccm na viongozi wa ccm wakitumia pesa na madaraka yao kuisimamisha na kuifanya idumu? amka mambo si rahisi kiasi hicho haswa katika vitu vyenye kugusa maslai ya watu kama hicho.
ukishakosea umekosea
 
Polisi uoga wao tu. Kumsindikiza mtu tu inakuwa nongwa...??
 
Hii ni cinema tosha. Nchi hii bwana, wanashindwa kulinda mipaka na majangiri, wanang'ang'ania wana siasa na maandamano yao!. Kuna shida gani watu wakifanya maandamano ya amani?
 
CCM na agano la damu za watu. Wao bila kuua mambo yao hayaendi. Lakini siku inakuja, vijana wote mnaondekeza njaa na CCM yenu, mtaipata fresh.
 
mikusanyiko ya kihuni iliyoratibiwa na chadema maeneo mbalimbali nchini hsusan dsm ambapo wahuni hao walimfuata mbowe imetawanywa na polisi. taarifa rasmi zilizopatikana zinaeleza kuwa mikusanyiko midogo midogo imeonekana makao makuu ya polisi huku wahuni hao wakiwa wamevalia suruali zilizolegea matakoni huku wameshikilia maji mikononi mwao. kitendo hicho cha polisi kuwadhibiti wahuni hao kimepongezwa na wananchi walio wengi ambao wanapenda amani iendelee kutawala hapa nchini.

my take; wapigwe tu
Nawasikitikia watz,hakika hampewi habari sasa na watu wenu,issue ya kuuliza hapa ni kwanini hawa watu wanapeleka habari ya kuchosh HIVI,ukweli ni kuwa wanaogopa chadema,
 
Kama Mbowe anajiamini na anaona yuko right, kuna haja gani kwenda na mawakili watano na kusindikizwa . Kwani Nyerere alisindikizwa au alikuwa na mawakili watano?
 
mji gani balaa uongo mwingine wa kijinga sana.
 
Kubweka ni kazi ya miji......bwa.
Anyway, acha wabweke tu masters wao wako dodoma wanatunga katiba ya watanzania
 
Back
Top Bottom