Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama mamia ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.

Chanzo: ITV
 
IMG-20140918-WA0018.jpg
IMG-20140918-WA0021.jpg
 
Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu. Washughulikiwe.
 
Leo ndiyo nimejua kuwa msalani ni mtoto ambaye hata ungo haja vunja, unashabikia ujinga? Haujui watu wakikomaa hapata kalika? Cha msingi watu wasiandamane,wadai haki mahakamani kama hakuna basi tusubiri hiyo katiba ya chama tawala tuipige chini.

Which scientific evidence umetumia kujua huyo mrembo?
 
Maandamano siyo kitu kizuri, wafikirie kutaka haki mahakamani na kama hakuna haki tuisubiri hiyo katiba ya chama tawala tuipige chini, kuanndamana no.

Msemakweli, unasema Kweli? Kuipata 2/3 BMK watachakachua. harafu wewe unasema utakuwa na uwezo wa kuipga chini? Maccm hayashindwi kitu kumbuka kule Pemba police walifanikiwa kuchakachua kwa kuyapora na kuyateka asanduku ya kura kwa lengo la kuchakachua kura?
 
Mbona heading na picha haviendani naona policcm wanaweweseka tu hakuna jipya namkubali kamanda Mbowe ni kamanda wa ukweli Jumapili alipokuwa akihutubia maccm yalikuwa bize yanatumbulia itv kusikiliza anaongea nini angekuwa ni kiongozi wa hovyo wasingehangaika kwa kauli zake jamaa anawakosesha raha viongozi wote nchi nzima halali ccm wamefika pabaya nimeipenda hii Mbowe huyu huyu ndo mara maccm yanasema hajasoma oh fomu four zero sasa mbona anawatoa mijasho Sitta na bunge lake la magumashi alitoka kwenye mstari hoja ikawa ni kujadili kauli za Mbowe aliposimama mh Kessy naye kawatoa kwenye reli nchi hii sasa maccm yamefikia mwisho wanatumia pesa nyingi badala kuhudumia wananchi wapo bize kudhibiti wapinzani.
 
[h=2]Wapigwe tu ya Pinda, sasa ifanye kazi.[/h]
Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu. Washughulikiwe.​
 
Back
Top Bottom