Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Issue ikawa nini ? Kweli mulugo na kalambwa wametuharibia nji yetu... !

Wewe unajua ilikuwa issue ya kifamilia ?
amejibu vizuri tu kwamba issue ilihusu binti mdogo wake na mkewe huyo mzengi yaani shemeji mtu.ulikua ugomvi wa kifamilia ambao baadae umefika mahakamani na huyo shemeji mtu akapigwa faini ya dola milioni moja sawa na zaidi ya bilioni moja ya kitanzania ambayo hangeweza kulipa kwa vyovyote.issue ikawa reconcidered kwamaana faini ikapunguzwa na ikalipwa AND THE ISSUE WAS PUT TO REST.
 
Waandishi wenyewe hao ccm iliyowaandaa na kuwapa maswali lakini kwa umburula wao wanauliza ''my question come from both of you'' sasa mtu kama huyo ambaye ni mhariri itakuwaje kwa misukule kama wewe!

Nilikuwa concentrated kwenye content na sio grammer ila mkuu umenichekesha kweli nimemkumbuka yule mwandishi wa bongo aliyeuliza swali hilo.
 
Mbona wananchi wanaomlaki ni wanawake tuu..?....au na wanaume wapo lakini hawakupigwa picha.....?!!!!

Labda walivaa kanga na vitenge! we hujui Obama anapenda wanaume wavaa vitenge? Nafikiri hili nalo atalisisitiza kabla ya kuondoka ili mlizingatie msije kukosa misaada yake
 
Mbona wananchi wanaomlaki ni wanawake tuu..?....au na wanaume wapo lakini hawakupigwa picha.....?!!!!

Hata mimi nina wasiwasi juu ya hilo.
Au ndo Ladies first mpaka kwenye picha?
 
ob2.jpg


ob1.jpg


ob4.jpg


ob5.jpg


ob5.jpg


ob9.jpg


ob8.jpg
 
wana jamvi nimepata uchungu sana kuona hii kwenye TV zetu na sijui waandaaji wa hilo jina waliwaza nini.
Shame on TBC one. OBAMA NI RAIS WA TANZANIA?
 

Attachments

  • 1002070_542864939105052_205774344_n.jpg
    1002070_542864939105052_205774344_n.jpg
    9.3 KB · Views: 12,303
wana jamvi nimepata uchungu sana kuona hii kwenye TV zetu na sijui waandaaji wa hilo jina waliwaza nini.
Shame on TBC one. OBAMA NI RAIS WA TANZANIA?

Wakati wewe unashangaa umakini wa TBC 1, mimi nakushangaa wewe 'kuishangaa' TBC 1
 
Back
Top Bottom