Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

TBC ni kama wehu, eti Obama ni rais wa Tanzania
1012785_143230542545106_1823343195_n.jpg
 
Wakati wewe unashangaa umakini wa TBC 1, mimi nakushangaa wewe 'kuishangaa' TBC 1

Mambo ya Televisheni ya 'Chama chetu' hayo, muonekano mbovu, usikivu ndiyo hivyo, habari za kubumba na watu wako bize kujipendekeza watupiwe angalau ka- u DC!
 
Hello wana Jf
Kwanza kabisa niseme tu kwamba nimefurahishwa na ripoti ya Mwanakijiji juu ya ulinzi wa Rais Obama.
Sina lengo la kurudia maelezo ya gwiji huyo wa tasnia ya habari (mtazamo wangu)
Jambo moja la kihistoria limethibitishwa katika ardhi yetu ya Tanzania sio jingine zaidi ya Slogan ya
"YES WE CAN"iliyotumiwa sana na Obama wakati wa kampeni zake za kuingia Ikulu ya USA kwa mara ya kwanza.
Nimefuatilia jinsi WAZUNGU wanavyokosa usingizi kumlinda mtu MWEUSI-Obama!
Hakika Waafrika tunayo kila sababu za kujiamini katika maamuzi yetu.
Inawezekana kabisa kuwapigisha WAZUNGU kwata kuhakikisha tunalinda UTU wetu.
Kama mtu Mweusi-Obama ameweza kumbe hata sisi tunaweza.
Suala hapa ni kujipanga vyema kuanzia kwenye ngazi ya familia zetu kujithamini na ndipo tutapata kuyafikia malengo yetu kwa kiwango cha juu kabisa
Najua,wapo watakao beza kwa sababau nyingi sana lakini jambo moja ni Hakika HATA SISI NGOZI NYEUSI tunaweza leta mabadiliko CHANYA na tukawatuma WAZUNGU.Nawasilisha
 
wana jamvi nimepata uchungu sana kuona hii kwenye TV zetu na sijui waandaaji wa hilo jina waliwaza nini.
Shame on TBC one. OBAMA NI RAIS WA TANZANIA?

Kweli inatisha sana wajitafakari nahii inasababishwa na kujawa na kiwewe na ushabiki kupita kiasi ha umakini wa kazi unapungua. TBC 1 jitafakali kisha mchukue atua mshampoka JK nchi sasa!
 
Labda walivaa kanga na vitenge! we hujui Obama anapenda wanaume wavaa vitenge? Nafikiri hili nalo atalisisitiza kabla ya kuondoka ili mlizingatie msije kukosa misaada yake
.......nimeangalia hutuba yake mwanzo mwisho sijaona mahali alipoongea haya mambo yao ya ajabu....naona kamwelewa rais wa Senegal....kwamba Africa mtu akifanya hayo mabo anachijwa...
 
hivi kulikuwa na ulazima gani wa rais kukagua obama avenue na maendeleo shughuli za mapokezi kwa ujumla, kwani hakukuwa na wajumbe wakuu wa maandalizi ya mapokezi? na kwa nini hatujiamini? au kwa sababu kikombe kimesafishwa nje kwa ustadi wakati ndani kichafuu k
 
Hivi Barack Obama nu Rais wa Tanzania au Marekani?kuna picha hapo akiwa anahutubu kwa chini ina maandishi "BARACK OBAMA RAIS WA TANZANIA"mmmmmh..
 
duh, noma kweli, hivi hawa watangazaji umakini wao katika kuwasilisha taharifa uko wapi? au sababu ni ya shirika la kijiji ndo buruta twende
 
JK km katoto ka kihuni..amekuwa carried away kirahisi sana na excitements za watu, wenzake huwa akili zinajiuliza mambo mengi...ninachohofia ni kwamba km CIA, FBI walikuwa na unlimited control ya ikulu sijui km kutakuwa na siri tena pale ikulu....ngoja ajitokeze Snowden mwingine.
 
Hello wana Jf
Kwanza kabisa niseme tu kwamba nimefurahishwa na ripoti ya Mwanakijiji juu ya ulinzi wa Rais Obama.
Sina lengo la kurudia maelezo ya gwiji huyo wa tasnia ya habari (mtazamo wangu)
Jambo moja la kihistoria limethibitishwa katika ardhi yetu ya Tanzania sio jingine zaidi ya Slogan ya
"YES WE CAN"iliyotumiwa sana na Obama wakati wa kampeni zake za kuingia Ikulu ya USA kwa mara ya kwanza.
Nimefuatilia jinsi WAZUNGU wanavyokosa usingizi kumlinda mtu MWEUSI-Obama!
Hakika Waafrika tunayo kila sababu za kujiamini katika maamuzi yetu.
Inawezekana kabisa kuwapigisha WAZUNGU kwata kuhakikisha tunalinda UTU wetu.
Kama mtu Mweusi-Obama ameweza kumbe hata sisi tunaweza.
Suala hapa ni kujipanga vyema kuanzia kwenye ngazi ya familia zetu kujithamini na ndipo tutapata kuyafikia malengo yetu kwa kiwango cha juu kabisa
Najua,wapo watakao beza kwa sababau nyingi sana lakini jambo moja ni Hakika HATA SISI NGOZI NYEUSI tunaweza leta mabadiliko CHANYA na tukawatuma WAZUNGU.Nawasilisha

Wewe kweli bado ni mjinga. Kwa taarifa yako Obama siyo mtu mweusi.

Obama ni chotara wa Kizungu (mama) na Kiafrika (baba). Hivyo, kama ambavyo unavyojidodo wewe kuhusu 'weusi' wa Obama hata wao wanajidodo kuwa nusu yake nzima ni ya kwao.
 
Back
Top Bottom