Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,304
Hawa commentators wa TBC bana...hahahahaa daaah!
Hahahaha Sasha na Malia wanaamkia "Shkamoo"
Last edited by a moderator:
Hawa commentators wa TBC bana...hahahahaa daaah!
Kumbe umeisikia na wewe hiyo eeeh?!!
Hii nayo umeiona?
![]()
Yaani, naona aibu kwa niaba yao Maendeleo hayaji Tanzania kwa sababu hatuwezi kuwa makini kwenye chochote
nyie akina nani? Hakuna amani wala mapendo kwenye umaskiniObama anapita na watu wanaotoa machozi wakimshika mkono hawataki kumuachia. Karibu Tanzania Obama cc tunamapendo ni watu wachache tu wanataka kuharibu hali ya hewa.
mkuu ao ndo wapo kazini,yan kazi yao ni kupiga vigelegele ili walipwe na wakatunze familiaHivi hao wapiga vigelegele wametolewa wapi? Hawana kazi zingine za kufanya?
tupe mwangozo mkuu na uwemstari wa mbele katika utekelezajiwakati madokta wamegoma uliwaunga mkono?
Mdau mm naongelea kipimo(CT-Scan) suala la mgomo wa madakatari ni pana zaidi na lilikuwa linajaribu kujumuisha mambo yote haya nadhani hatuna budi kupaza sauti juu ya hili maana sipati picha kwa wale raia ambao hawana uwezo wa kwenda huko High-tech kupata hvyo vipimo mbona dhifa zinafanyika na magari ya kifahari yananunuliwa kila siku iweje kifaa ambacho kinategemewa na mamilioni ya wananchi kikosekane tena zaidi ya mwaka katika hospitali kubwa kama MHN.
tupe mwangozo mkuu na uwemstari wa mbele katika utekelezaji
Hii nayo umeiona?
![]()
Wakuu mnashangaa kwa hili?kivipi mshangae wakati ndo kaja kutununua?
HAKUNA TYPING ERA WALA NINI,HUO NDO UHALISIA WAKUU.
Nimejaribu kuwasemea ambao hawana nafasi katika jukwaa hili ambao ni wanyonge na ambao hawana uwezo wa kupeleka ndugu zao high-tech kupata kipimo cha aina hyo na sina uhakika kama waziri wa wizara husika yumo humu jamvini labda angekuja kutupa ufafanuzi juu ya hili suala na ufumbuzi juu ya kukosekana kwa kifaa hicho kwan ni wachache wenye kuweza kumudu gharama nje ya MHN.