Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

obama amesifu kuendelea kuimarika kwa uhusiano baina ya tanzania na marekani ulioasisiwa na nyerere na marais tangulizi wa marekani.

Obama pia ameisifu tanzania kwa kudumisha amani na kuiomba tanzania kushiriki kutafuta amani congo kwa vile tanzania ndiyo taifa wanalolitambua katika utatuzi wa migogoro katika ukanda huu wa maziwa makuu.

Akazitaka pia nchi za afrika mashariki na kati kuendelea kukutana mara kwa mara ili kutatua migogoro.

kampongeza jk kwa uimara wake katika kushughurikia maswala kadhaa ya taifa lake yakiwemo ya usalama na uchumi.
Moja ya kazi za CIA na ubalozi wa Marekani ni kumpa Rais wa Marekani taarifa sahihi za aina ya Rais anayekwenda kutembelea nchi yake.

Kwa hapa kwetu CIA wamefanya kazi yao vyema kwa kumshauri Obama ammiminie sifa za Marehemu JK anaweza akazawadiwa hata mgodi wa madini kama kumbukumbu ya ziara yake.
 
Nilimwona Pinda anapigwa na jua wakat Obama na Jk wapo kibandani wakiangalia ligwaride
 
Kajibu vizuri ndio kajibu nini? yani kikwete amejing'atang'ata tuuu halafu wewe unataka kudanganya watu hapa eti kalijibu vizuri? au kwakuwa maimuna hata alichokijibu hukijui?
Kaa kimywa wee, RAIS ANAONGEA!

Vipi babu yuko wapi ?
 
Full mfumo dume, hata Madame speaker sikumuona au kiongozi mwingine wa jinsia ya kike. Kweli utekelezaji wa malengo ya MDG'S ni safari ndefu.
Queen Esther
 
WanaJF!

Ingawa kumekuwepo na majaribio ya kuichafua serikali ya JK, kuwa inakandamiza demokrasia na haina utawala bora, majaribio hayo yamegonga mwamba kwani rais Obama amemsifu rais Kikwete kwa kukuza demokrasia nchini na namna ambavyo ana shiriki kutatua migogoro kwa njia za diplomasia.

Rais Obama pia akusita kukiri namna ambavyo serikali ya Kikwete inatumia pesa za msaada kwa namna ambavyo imepangwa katika kufanikisha miradi ambayo ipo chini ya mfuko wa misaada wa Marekani.

Aidha, kwa taarifa ambazo zimesambazwa nchini Marekani kuhusu matukio yenye kulenga kuonyesha kuwa Tanzania sio kisiwa cha amani, hazina mashiko kwani rais Obama amesisitiza msimamo wa Marekani katika kuisaidia Tanzania bado uko pale pale.

UZALENDO SIO KUKIMBIA KWENYE MATAIFA MAKUBWA NA KUELEZE HABARI HUKO, BALI UZALENDO NI KUKAA NCHINI KWA PAMOJA KAMA WATANZANIA NA KUTATUA MAMBO YETU WENYEWE.

Asante Amy D washenzi wa chadomo ma------ yanawasha maana chama Chao cha maandamano kimeumbuka ------- zao
 
Katika press conference ikulu ya magogoni rais Obama amepongeza na kutambua juhudi za wapinzani,wanaharakati na waandishi wa Tanzania katika kuimarisha demokrasia nchini.
 
amejibu vizuri tu kwamba issue ilihusu binti mdogo wake na mkewe huyo mzengi yaani shemeji mtu.ulikua ugomvi wa kifamilia ambao baadae umefika mahakamani na huyo shemeji mtu akapigwa faini ya dola milioni moja sawa na zaidi ya bilioni moja ya kitanzania ambayo hangeweza kulipa kwa vyovyote.issue ikawa reconcidered kwamaana faini ikapunguzwa na ikalipwa AND THE ISSUE WAS PUT TO REST.
Hata mimi nimesikia vizuri tu kwamba ishu ilimalizika baada ya huyo Afisa ubalozi kulipa fedha zilizotakiwa baada ya maridhiano ya pande zote mbili....Awali ilitakiwa alipe faini ya $ 1,000,000/= kiwango ambacho kilikuwa ni kikubwa mno kuweza kulipwa na mhusika.....

Sasa sijui watu walitaka Rais ajibu nini zaidi ya hicho...

Tatizo baadhi yetu watanzania tunapenda sana kujishusha na kudharauriana kwa vitu ambavyo vinatufedhehesha sisi wenyewe kama Taifa....
 
Binafsi naona Didas Ma------ aling'ara na tumbo lake...pale hata Komba haoni ndani
 
Ngoja tusubiri mikataba itakayosainiwa na hawa jamaa itawekwa wazi au wataificha?
 
Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!

labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
Jambo ambalo najua linaweza tokea ni kuwa Ndege atakayopanda raisi inaondoka kwanza halafu zinafuata zingine kutegemeana na idadi ya Ndege walizonazo.ila kwenye kutua kwenye nchi husika wanaweza kubadilisha ikatangulia Ndege ambayo raisi hayupo baadae ndipo Ndege ya raisi ikafuata.na hili laweza tokea Kama wana mashaka na usalama wa raisi wao.
 
Ulivyoandika wewe mtu anaweza kupata wrong impression.

Wala hakuna wrong impression.

In deed, lile swali la yule mwandishi wa DRC limetengezwa.

Hakuwa pale na hukuuliza lile swali for the sake of it.

Inawezekana hata halikuwa swali lake.
 
Kaa kimywa wee, RAIS ANAONGEA!

Vipi babu yuko wapi ?
Babu Kinana yupo Mikumi anateketeza Tembo, alifanyiwa Vetting na FBI akakataliwa kabisa kumsogelea President Obama.

Nape na Mwigulu Mchemba waliambiwa wala wasijisumbuwe kwenda kwenye vetting ya FBI maana huko fingerprint zao zingeleta utata kwa Uhalifu unaowahusu.
 
Hata mimi nimesikia vizuri tu kwamba ishu ilimalizika baada ya huyo Afisa ubalozi kulipa fedha zilizotakiwa baada ya maridhiano ya pande zote mbili....Awali ilitakiwa alipe faini ya $ 1,000,000/= kiwango ambacho kilikuwa ni kikubwa mno kuweza kulipwa na mhusika.....

Sasa sijui watu walitaka Rais ajibu nini zaidi ya hicho...

Tatizo baadhi yetu watanzania tunapenda sana kujishusha na kudharauriana kwa vitu ambavyo vinatufedhehesha sisi wenyewe kama Taifa....

Mkuu kila ishu iwe ya msingi ua la watu hasa wapinzani wataponda kwahiyo saa nyingine inabidi uwapotezee watu wa aina hii.
 
[h=1]Obama and Bush to Meet in Tanzania[/h]
DAR ES SALAAM, Tanzania – This is unprecedented: two U.S. presidents will make a joint public appearance in Africa Tuesday.
Former President George W. Bush will join President Obama in the morning at a wreath-laying ceremony at the U.S. Embassy in Dar es Salaam, Tanzania, to honor the victims of the 1998 bombing there, White House Press Secretary Jay Carney said today.
The event will be at 10 a.m. local time, 3 a.m. ET.
First ladies Michelle Obama and Laura Bush will also be appearing together on stage here at a First Ladies Summit hosted by Laura Bush. That joint appearance will be moderated by ABC News' Cokie Roberts.
Neither George W. Bush nor Obama is expected to speak at the event.
Obama has yet to shape a policy legacy for Africa comparable to that of his predecessor and he has been criticized for the perception that he has done too little for the continent.
On his way to South Africa, the Obama told reporters that George W. Bush deserves "enormous credit" for his foreign policy aid programs, like PEPFAR, the President's Emergency Plan for AIDS Relief.
"It is really important. And it saved lives of millions of people," he said.
In shaping his own legacy, Obama has been touting his administration's plans to promote trade with African economies, boost private investment and increase access to electricity.
"Everything we do is designed to make sure that Africa is not viewed as a dependent, as a charity case, but is instead viewed as a partner; that instead of chronically receiving aid, it is starting to get involved in trade, get involved in production and, over time, is going to be able to feed itself, house itself and produce its own goods," he said. "And that's what Africa wants."
 
Back
Top Bottom