Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Kiukweli swali la pili kama serikali ina akili ujumbe Obama ameufikisha kuhusu ni namna gani serikali iliyoko madarakani inabidi kuheshimu haki za binadamu.
 
Very Good question to Kikwete about the ambassador who was fined in Washington
 
kikwete ameulizwa issue ya mwanadiplomasia aliyefanya trafficking na kuamriwa alipe usd1m, na kama huyo jamaa bado ni advisor wake
 
Huyu mdada atamfanya jk awe mwekundu swali la human trafficing kuna hoja haaapa....
 
Hmm wewe nawe....sasa nini hapo alichokisema kinachokufanya useme "jamaa yuko smart"? Mbona ni wa kawaida tu na majibu anayotoa ni ya kawaida tu....au ndiyo ubabaikaji wenyewe huo?

Kikoloni ndugu yangu ndo kinamtisha jamaa!
 
Hawa wauliza maswali walishachaguliwa kabisaee?
 
kwakweli huyu dada kauliza swali zuri kwa Mh Kikwete
 
Mtumeeeeeeeeeeeeeee, mwanamama wa ABC anataka "kumuuua" Rais wetu jamani, hili la mtumishi wa ndani si lishamalizika sasa analileta tena kwenye live event? wacha tuone Rais wetu atakavyolijibu
 
Kwa nini Salva anawachagua wa kuuliza badala ya wao kuchagua wanaoomba kuuliza. Inaonyesha walishapangwa! Na pengine mswali kujulikana...
Hilo liko wazi au ulitaka tupate majibu sijui?.
 
Ivi watanzania wameishiwa na maswali kwa obama mpaka yaulizwe mambo ya kongo? Au huku ni kuwabana waandishi wetu wa hapa
 
Mwandishi wa NBC safi sana kuhusu hilo swali linalomhusu Msengi (yule jamaa wa ubalozi DC):clap2:

That is what we call free media.

Imagine hii issue hakuna chombo chochote cha habari kilishawahi kuiandika japokuwa kesi yenyewe ipo online
 
Back
Top Bottom