Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

mkuu obama ni rais kama alivo raisi wa manzese, new york times ni kama ilivo mwananchi, ni nini shida? acheni kuabudu miungu watu. kama kaacha pesa kidogo wekeni viraka kipande cha morroco-mkwajuni ikibaki kule kijijini kwa bibi kuna kadaraja kanasumbua mpeni mjumbe elfu 50 atengeneze the rest mgawane.
Ni kweli kwani hata CHADEMA ni SACCOS fulani ya wachaga na SLAA ni katibu wa kikao cha harusi. Na wewe ni uko kamati kwenye kamati ya ulinzi kwenye harusi ya padri muasi
 
Moja katika shauku yangu ya ujio wa raisi wa Marekani bwana Barack Obama ni kujua atazungumziaje mambo yanayoendelea ya kisiasa hapa nyumbani hasa yanayoihusu Serikali ya ccm na chama kikuu cha upinzani chadema. Kwa bahati mbaya sijaona mwandishi hata mmoja akihoji suala hili wala Obama kuligusa suala hilo kifupi sijapenda kabisa waandishi kutoshughulishwa na siasa zetu na kuwa focused na siasa za nje. Ni wazi strategies za kisiasa za chadema zimedharaulika sana hata katika jamii ya kimataifa. Ni wakati wa chadema kujitathmini na kufanya siasa safi kwani kuna mambo mengi sana ya kuwaeleza watanzania na wakaeleweka vizuri. Kutengeneza matukio tena kwa kutumia maisha ya watu hayakubaliki popote duniani.
 
Mkuu na wewe ulikuwa upande wa Ngoma?
 
Wanaume hawakupewa vitenge na fulana, wamenunaaaaaaaaaaaa!
.............ha ha ha ha ha ha....nimecheka sana.....mkuu happiness win...ila nimeangalia picha nyingi hta kwenye blog nyingine wanawake ni wengi.....si jambo la muhimu sana kujua kwa nini.....lakini kama washkaji wamepotezea hivi au...
 
Kwani Obama alijaribu kukata mabuno? Naona kuna picha mdomo uko kinamna na mijimama hawana mbavu
 
Moja katika shauku yangu ya ujio wa raisi wa Marekani bwana Barack Obama ni kujua atazungumziaje mambo yanayoendelea ya kisiasa hapa nyumbani hasa yanayoihusu Serikali ya ccm na chama kikuu cha upinzani chadema. Kwa bahati mbaya sijaona mwandishi hata mmoja akihoji suala hili wala Obama kuligusa suala hilo kifupi sijapenda kabisa waandishi kutoshughulishwa na siasa zetu na kuwa focused na siasa za nje. Ni wazi strategies za kisiasa za chadema zimedharaulika sana hata katika jamii ya kimataifa. Ni wakati wa chadema kujitathmini na kufanya siasa safi kwani kuna mambo mengi sana ya kuwaeleza watanzania na wakaeleweka vizuri. Kutengeneza matukio tena kwa kutumia maisha ya watu hayakubaliki popote duniani.

bahati mbaya wamarekani hawajui Chadema ni nini na ina maana gani..?
 
Kumbe wapumbav wapo wengi !!
Uwiii yule alikuwa dada kwa definition za kabila gani ? wooooow... achaa hizo dola milioni moja ni nyingi ? Twiga na swala wangapi, au ka akaunti kamoja kati ya zile zilizo uswisi !
JK amejibu vizuri swali la Nbc reporter na sasa press imeisha Obama anapanda mti wa kumbukumbu.
 
Hawa commentators wa TBC bana...hahahahaa daaah!

Last edited by a moderator:
Kikwete anatoa speech katika dhifa ya kitaifa ya kumkaribisha barac k obama welcome mr president
 
Moja katika shauku yangu ya ujio wa raisi wa Marekani bwana Barack Obama ni kujua atazungumziaje mambo yanayoendelea ya kisiasa hapa nyumbani hasa yanayoihusu Serikali ya ccm na chama kikuu cha upinzani chadema. Kwa bahati mbaya sijaona mwandishi hata mmoja akihoji suala hili wala Obama kuligusa suala hilo kifupi sijapenda kabisa waandishi kutoshughulishwa na siasa zetu na kuwa focused na siasa za nje. Ni wazi strategies za kisiasa za chadema zimedharaulika sana hata katika jamii ya kimataifa. Ni wakati wa chadema kujitathmini na kufanya siasa safi kwani kuna mambo mengi sana ya kuwaeleza watanzania na wakaeleweka vizuri. Kutengeneza matukio tena kwa kutumia maisha ya watu hayakubaliki popote duniani.

Waandishi wenyewe hao ccm iliyowaandaa na kuwapa maswali lakini kwa umburula wao wanauliza ''my question come from both of you'' sasa mtu kama huyo ambaye ni mhariri itakuwaje kwa misukule kama wewe!
 
Back
Top Bottom