Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
aibu gani aliyotia,jk kajibu maswari kwa uzuri kabisa
Leo mnavuta ngapi? Nasikia mmeongezewa buku....chapeni kazi vijana
aibu gani aliyotia,jk kajibu maswari kwa uzuri kabisa
Kama Obama sio Mungu, ni nini sababu iliowafanya hawa wanasiasa wetu wapeleke habari zao huko kwenye New York Times? si ni vyema mambo kama hayo yabaki nchini ili tuyamalize wenyewe? kwanini yaende nje?
Kwa maana hiyo Mwigulu aliingia kama mcheza ngoma? hakupata nafasi za VIP kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Dhu!! Kweli Bongo mambo mdundo!!
Yaani ampokezi ya Obama yanasimamiwa na Rais mwenyewe!! Kazi kwelikweli!!!
Moja ya kazi za CIA na ubalozi wa Marekani ni kumpa Rais wa Marekani taarifa sahihi za aina ya Rais anayekwenda kutembelea nchi yake.
Kwa hapa kwetu CIA wamefanya kazi yao vyema kwa kumshauri Obama ammiminie sifa za Marehemu JK anaweza akazawadiwa hata mgodi wa madini kama kumbukumbu ya ziara yake.
Mwigulu na Nape waliingia kama wacheza ngomaKwa maana hiyo Mwigulu aliingia kama mcheza ngoma? hakupata nafasi za VIP kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Nyoosha maneno wewe!!!! Sema kama wafuasi wa chadema wataambiwa wapige kura.Hahaha jamani for sure katika Tanzania mtu ambae wakipiga kura leo afe na azikwe hai basi Mwigulu anaweza akaongoza kwa kura.Hivi anajijua kama kweli anachukiwa hivi.Du pole zake
Kwani Mzee wetu, kipenzi chetu, Handsome wetu Stephen Masatu Wassira alikuwwpo?
Ni mimi na wewe pamoja na walipa kodi wengine maskini. Nikisema hivi nadhani naelewaka vzr kwani walipa kodi wengi Tanzania ni maskini hasa kupitia PAYE, matajiri wao wako exempted ni wawezekezaji wanasemehewa ili watengeneze ajira ambazo zinaingiza kodi kupitia PAYE.
CIA NA FBI walishamjulisha obama kwamba sifa ya raisi wa bongo ni kumsifia!
Kama ukimsifia basi utapata kila kitu!!
Hili joto hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, upepo hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Pole mamaaàaaaaaaaaaaaaaaWe ----- kweli .................yaani ulitegemea obama aseme democrasia inakandamizwa tz,,,, ulitaka aseme amechukia sana kwa sababu ccm inatumia polisi kuuwa rais....ulitaka aseme sijawahi kusikia waziri mkuu -------- km wa tz? ulitaka aseme amesikitishwa jinsi waandishi wa habari wanavyoandamwa na ccm na vyombo vya dora? Hata km ni wewe unajua unachokitaka basi huwezi kusema hivyo.............wenzetu ni very strategic ktk mambo yao ila nyie wazeee wa maisha bora mnaenjoy sn kupata sifa za kijinga.....na wenye akili zao wameona kuwasifia ndo kupata chao,,,........endeeeni tu kulala usingizi wa pono mkidhani obama ndo anayeyaishi maisha tunayoyaishi chini ya kauli za vitisho na uvunjifu wa amani zinazotolewa na viongoci wa ccm polisi na rais wena na obama ndo anayekula mlo mmoja kwa siku huku ccm na vibaraka vyake vikiliibia taifa.
WANAOYAISHI MAISHA KIHALISIA.
Duh kashapiga longo longo na kupotezea mara wanapanda miti.ilibidi mk were avutwe koti hapo aambiwe bado hatujapata jibua young sister of wife of nani sijui,hata sijaelewa
Asante Amy D washenzi wa chadomo ma------ yanawasha maana chama Chao cha maandamano kimeumbuka ------- zao