Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
kikwete ameulizwa issue ya mwanadiplomasia aliyefanya trafficking na kuamriwa alipe usd1m, na kama huyo jamaa bado ni advisor wake
Subiri atakavyojiuma uma. Rais wetu anajua kuahidi barabara kuliko kinachoendelea dakika hii