Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Acha kuandika pumba wewe!!!! Serikali hii imejichafua yenyewe kwa madudu kibao tena katika kila sekta hakuna yeyote anayeongeza chumvi ili kutaka kuichafua Serikali hii dhalimu yanayosemwa na kuandikwa yote ni kweli tupu.
 
Huyo Obama ni Mungu, kwamba neno lake ni neno kuu?

Kama Obama sio Mungu, ni nini sababu iliowafanya hawa wanasiasa wetu wapeleke habari zao huko kwenye New York Times? si ni vyema mambo kama hayo yabaki nchini ili tuyamalize wenyewe? kwanini yaende nje?
 
Hata mimi nimesikia vizuri tu kwamba ishu ilimalizika baada ya huyo Afisa ubalozi kulipa fedha zilizotakiwa baada ya maridhiano ya pande zote mbili....Awali ilitakiwa alipe faini ya $ 1,000,000/= kiwango ambacho kilikuwa ni kikubwa mno kuweza kulipwa na mhusika.....

Sasa sijui watu walitaka Rais ajibu nini zaidi ya hicho...

Tatizo baadhi yetu watanzania tunapenda sana kujishusha na kudharauriana kwa vitu ambavyo vinatufedhehesha sisi wenyewe kama Taifa....
Tunahitaji transparence alijilipia mwenyewe au ni Serikali imemlipia? na nikutoka kwenye fungu lipi? na baada ya maelewano hiyo faini ilipunguzwa kiasi gani na kimelipwa kiasi gani? ukada wako wa CCM usikutie upofu kwenye vitu serious kama hivi.
 
2013-07-01t131607z_785290670_gm1e9711n1101_rtrmadp_3_obama-tanzania.jpg




Huyu sio Mkurugenzi wa Bahati nasibu au ni macho yangu? Kumbe inabidi uwe na wadhifa kujipanga hapa sio bure
Ni Abbas Tarimba......hahahahahahahahahaha
 
serikali inajichafua yenyewe mkuu kwa matendo na maneno yake. ulitegemea uone kwene press obama akiifokea live serikali kwa mambo yanayokuwa sio? zaid ya kusifia hakuwa na jambo lingine la kunena.
 
Acha kuandika pumba wewe!!!! Serikali hii imejichafua yenyewe kwa madudu kibao tena katika kila sekta hakuna yeyote anayeongeza chumvi ili kutaka kuichafua Serikali hii dhalimu yanayosemwa na kuandikwa yote ni kweli tupu.

Mkuu BAK,

Hili bandiko sio la kishabiki ni la kizalendo.

Zile taarifa za Ulimboka, bomu la Soweto na mengineyo! hakuna mtu yeyote anaeweza kuthibitisha ushirika wa serikali au CCM.

Ni mambo ambayo bado yana chunguzwa, na taratibu za upelelezi wote tunajua kuwa zinachukua muda, kwani Tanzania bado haijaimarisha idara zake za kiupelelezi.
 
Last edited by a moderator:
Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!

labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
Jambo ambalo najua linaweza tokea ni kuwa Ndege atakayopanda raisi inaondoka kwanza halafu zinafuata zingine kutegemeana na idadi ya Ndege walizonazo.ila kwenye kutua kwenye nchi husika wanaweza kubadilisha ikatangulia Ndege ambayo raisi hayupo baadae ndipo Ndege ya raisi ikafuata.na hili laweza tokea Kama wana mashaka na usalama wa raisi wao.
 
Kuna hii habari ya CNN inadai hiyo Obama Avenue ni temporary.

Dar es Salaam, Tanzania (CNN) -- Tanzanians, hundreds wearing white shirts and hats bearing President Barack Obama's face, said "Karibu," or "Welcome," to the U.S. leader as they lined the street -- temporarily renamed "Obama Avenue" -- leading to the State House on Monday. CNN

Ya kweli hayo?
 
Dar es Salaam, Tanzania (CNN) -- Tanzanians, hundreds wearing white shirts and hats bearing President Barack Obama's face, said "Karibu," or "Welcome," to the U.S. leader as they lined the street -- temporarily renamed "Obama Avenue" -- leading to the State House on Monday.
Obama was to hold his third news conference in as many countries as part of his weeklong tour of Africa. Tanzania is the latest democratic country the president is visiting to promote the White House's increased partnership with Africa amid criticism the administration has focused its attention on other areas of the globe and only primarily military interests in Africa.

130701042355-elbagir-obama-tanzania-visit-00001716-story-top.jpg


_68481904_68476651.jpg
 
WanaJF!

Ingawa kumekuwepo na majaribio ya kuichafua serikali ya JK, kuwa inakandamiza demokrasia na haina utawala bora, majaribio hayo yamegonga mwamba kwani rais Obama amemsifu rais Kikwete kwa kukuza demokrasia nchini na namna ambavyo ana shiriki kutatua migogoro kwa njia za diplomasia.

Rais Obama pia akusita kukiri namna ambavyo serikali ya Kikwete inatumia pesa za msaada kwa namna ambavyo imepangwa katika kufanikisha miradi ambayo ipo chini ya mfuko wa misaada wa Marekani.

Aidha, kwa taarifa ambazo zimesambazwa nchini Marekani kuhusu matukio yenye kulenga kuonyesha kuwa Tanzania sio kisiwa cha amani, hazina mashiko kwani rais Obama amesisitiza msimamo wa Marekani katika kuisaidia Tanzania bado uko pale pale.

UZALENDO SIO KUKIMBIA KWENYE MATAIFA MAKUBWA NA KUELEZE HABARI HUKO, BALI UZALENDO NI KUKAA NCHINI KWA PAMOJA KAMA WATANZANIA NA KUTATUA MAMBO YETU WENYEWE.

una utapia akili wewe!, yaani umasikini uliokithiri nchii hauuoni unaleta ngonjera za kipumavu,

kwa hiyo Obama akiondoka matatizo ye yataisha??

imagine unaweza kutoka posta mpaka mwenge kwa massaa matatu,

mimi tangu nije dar sijawai ona maji ya bomba yanatoka kutwanzima tu
tunatumia maji ya visima na ninakaa almost 15km toka ikulu,

unasifia upumbafu! na wewe ni pumbafu!
 
Wala hakuna wrong impression.

In deed, lile swali la yule mwandishi wa DRC limetengezwa.

Hakuwa pale na hukuuliza lile swali for the sake of it.

Inawezekana hata halikuwa swali lake.

Swali la nani?
 
WanaJF!

Ingawa kumekuwepo na majaribio ya kuichafua serikali ya JK, kuwa inakandamiza demokrasia na haina utawala bora, majaribio hayo yamegonga mwamba kwani rais Obama amemsifu rais Kikwete kwa kukuza demokrasia nchini na namna ambavyo ana shiriki kutatua migogoro kwa njia za diplomasia.

Rais Obama pia akusita kukiri namna ambavyo serikali ya Kikwete inatumia pesa za msaada kwa namna ambavyo imepangwa katika kufanikisha miradi ambayo ipo chini ya mfuko wa misaada wa Marekani.

Aidha, kwa taarifa ambazo zimesambazwa nchini Marekani kuhusu matukio yenye kulenga kuonyesha kuwa Tanzania sio kisiwa cha amani, hazina mashiko kwani rais Obama amesisitiza msimamo wa Marekani katika kuisaidia Tanzania bado uko pale pale.

UZALENDO SIO KUKIMBIA KWENYE MATAIFA MAKUBWA NA KUELEZE HABARI HUKO, BALI UZALENDO NI KUKAA NCHINI KWA PAMOJA KAMA WATANZANIA NA KUTATUA MAMBO YETU WENYEWE.
Kilichomleta hapa ni maslahi kwa marekani na sio chochote kile
 
amejibu vizuri tu kwamba issue ilihusu binti mdogo wake na mkewe huyo mzengi yaani shemeji mtu.ulikua ugomvi wa kifamilia ambao baadae umefika mahakamani na huyo shemeji mtu akapigwa faini ya dola milioni moja sawa na zaidi ya bilioni moja ya kitanzania ambayo hangeweza kulipa kwa vyovyote.issue ikawa reconcidered kwamaana faini ikapunguzwa na ikalipwa AND THE ISSUE WAS PUT TO REST.

hajajibu vizuri hata kidogo

Mwisho kulikuwa na swali la msingi sana ambalo kikwete amelihepa nalo ni Je serikali yako bado inamtumia mtuhuyu na yupo sehemu flani akiitumikia? (kwamba hata baadada ya kashifa hii bado unamuona anafaa)

Kikwete hajajibu swali hili kabisa sambamba na lilie na mosi na miri yake ametereza kama kambale, kwasababu kwake nikashifa kubwa kufanya kazi na mtu mwenye kosa la kishenzi kama hilo.
 
Tunahitaji transparence alijilipia mwenyewe au ni Serikali imemlipia? na nikutoka kwenye fungu lipi? na baada ya maelewano hiyo faini ilipunguzwa kiasi gani na kimelipwa kiasi gani? ukada wako wa CCM usikutie upofu kwenye vitu serious kama hivi.

I see......

Mambo ya ukada wa CCM yanatoka wapi ndugu?......

Nimeeandika kilichozungumzwa na Rais Kikwete na hakuna lolote nililoongea linalohusiana na CCM wala u CCM....Mimi sina ushabiki maandazi wa vyama vya kisiasa kama baadhi ya watu(sina uhakika kama wewe ni baadhi yao)....Kwangu mimi pamoja na kuwa na mahaba na chama cha kisiasa ni Tanzania kwanza vyama baadae...Tanzania ni zaidi ya CCM,CDM,CUF n.k

Suala la nani amemlipia na fedha zimetoka kwenye fungu gani ni lingine...Kinachozungumzwa hapa ni jibu la Rais Kikwete kuhusu hatma ya hiyo kesi iliyokuwa inamhusu Afisa Ubalozi....Jibu ambalo baadhi ya watu wanajaribu kulipindisha na kulipotosha mradi tu ionekane Rais ameshindwa kulijibu kitu ambacho si kweli....

Btw....Hivi ulitegemea hata Obama au Rais mwingine yeyote angejibu ni nani amelipa hizo fedha?.....
 
...tatizo maswali ya kujitungia na unakremuuu weee ! Jambo leo si la akina Pinto au, na pinto si dugu ha ha ha.. chezeya wasanii weye !! Hata lile swali la kongo, si umeona wamejitungia ili kujisafisha na then atatamba kwa akina kagame na Kabuta kuwa hata dhaluo anaunga mkono juhudi zangu !!
swali Obama unarizdhika na misaada mnayotoa kwa tz especial mcc
kikwete unaridhika na misaa unayopewa na usa

maswali ya kitoto sana haya
 
Upumbavu wako peleka kwa wapumbavu wenzio ambao huweza kuzugika kirahisi na maneno na propaganda za kutoka ndani ya Serikali dhalimu.

Mkuu BAK,

Hili bandiko sio la kishabiki ni la kizalendo.

Zile taarifa za Ulimboka, bomu la Soweto na mengineyo! hakuna mtu yeyote anaeweza kuthibitisha ushirika wa serikali au CCM.

Ni mambo ambayo bado yana chunguzwa, na taratibu za upelelezi wote tunajua kuwa zinachukua muda, kwani Tanzania bado haijaimarisha idara zake za kiupelelezi.
 
sijamuona makamu wa kwanza wa rais wa znz maalim seif shariff hamad ... au amekataa kunyoa malokasa
 
We ----- kweli .................yaani ulitegemea obama aseme democrasia inakandamizwa tz,,,, ulitaka aseme amechukia sana kwa sababu ccm inatumia polisi kuuwa rais....ulitaka aseme sijawahi kusikia waziri mkuu -------- km wa tz? ulitaka aseme amesikitishwa jinsi waandishi wa habari wanavyoandamwa na ccm na vyombo vya dora? Hata km ni wewe unajua unachokitaka basi huwezi kusema hivyo.............wenzetu ni very strategic ktk mambo yao ila nyie wazeee wa maisha bora mnaenjoy sn kupata sifa za kijinga.....na wenye akili zao wameona kuwasifia ndo kupata chao,,,........endeeeni tu kulala usingizi wa pono mkidhani obama ndo anayeyaishi maisha tunayoyaishi chini ya kauli za vitisho na uvunjifu wa amani zinazotolewa na viongoci wa ccm polisi na rais wena na obama ndo anayekula mlo mmoja kwa siku huku ccm na vibaraka vyake vikiliibia taifa............
ITAFAHAMIKA TU NANI MKWELI OBAMA ANAYELAMBWA MIGUU AU WATZ WANAOYAISHI MAISHA KIHALISIA.
 
Back
Top Bottom