Mbona wananchi wanaomlaki ni wanawake tuu..?....au na wanaume wapo lakini hawakupigwa picha.....?!!!!
Ujio wa Obama isiwe kisingizio cha kusaliti ndoa zenu, eti ooh nimechelewa kwenye foleni, Namkemea huyo Pepo ashindwe kabisa, pepo la Uzinzi likakose nafasi ndani ya miyo yenu kwa kisingizio cha Foleni na wote tuseme Amenn
CC: Paloma Aine ladyfurahia
Hilo koti gani amevaa JK au ataenda kubadilisha?
Nakubaliana nawe kabisa, hapo kuna dalili kali za wivuWewe kama sio Mkei utakuwa Myarwanda, acha dharau
Naomba kujuzwa huyu munene mwenye amesimama kushoto mwisho mwa kikwete nan?
Mamndenyi kwani wanaume wakivaa sare hawatambuliki au wanafanana na wanawake?Hilo nimeliona
vinginevyo wamevaa sare.
Hatupashiwi hata kwenda kukaa barabarani, kwani gari lake tukiliona litatusaidia nini??? Kama kumwona yeye kama binadamu hata mimi ningeenda kumwona, lakini kwenda kuangalia gari lake hata mwanangu hataenda
Mama Salma na lugha ya kuunga unga kazi anayo...