Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Acha masikhara......mia.!

ni kweli mkuu, kama unaangalia tbc sasa hivi kutoka ikulu zinaonekana picha bila sauti, sauti inayo sikika ni ya mwanadada aliye studio wakati mara ya kwanza walikua wamejiunga na wakina hassan moja kwa moja toka ikulu. sauti haiko live baada ya hiyo sauti kusikika. mia
 
Having received only one previous visit by an American leader this century, Tanzania found itself hosting two men who are entitled to be addressed as "Mr President".

Mr Obama arrived on the last stop of his tour of Africa. Mr Bush, meanwhile, came to attend a conference on empowering African women organised by the institute he founded after leaving office.

Their wives, Michelle Obama and Laura Bush, are both expected to address the conference on Tuesday.

The White House confirmed that the two presidents would meet on Tuesday, joining together for a wreath-laying ceremony at the site of the 1998 bombing at the US embassy in Dar-es-Salaam that killed 11 people.
 
Mkuu,hizo zote ni kodi za wananchi! Kinachouma sana ni hizo gharama kuongezwa mara mbili na wahusika. Si unajua tena mambo ya MGENI NJOO,MWENYEJI APONE! Cha juu na 10% kama kawaida!

unajua unachoongea mkuu,unaweza kuyathibiti haya unayoaandika au umekaa kulalamika tu?
 

US President Barack Obama (L) dances to music alongside Tanzanian President Jakaya Kikwete upon arrival on Air Force One at Julius Nyerere International Airport in Dar Es Salaam, Tanzania, July 1, 2013.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wababa

article-2352491-1A9A62DF000005DC-101_634x381.jpg
 
article-2352491-1A9A5D60000005DC-664_634x435.jpg


Festive: The President was seen dancing along to the music on the red carpet at the airport

article-2352491-1A9A6617000005DC-622_634x450.jpg
Arrival: Barack Obama was greeted by a Tanzanian band as he landed in Dar es Salaam today
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Raucous Reception for Obama in Tanzania

by Keith Koffler on July 1, 2013, 9:11 am

President Obama is receiving a hero's welcome from Tanzania, a possible reflection of the fact that Tanzania shares a long border with the president's ancestral homeland of Kenya.
From the press pool report:
Massive crowds lined the main road from the airport to watch POTUS motorcade, in some places five and six rows deep for miles, according to the press pool report. You pooler saw one man wearing an American flag shirt pump his fists in the air in excitement as the motorcade passed.
At one point the road narrowed to the point that it felt like the motorcade was wading through a sea of people. Many were waving little American flags.
​
At the airport, Obama was greeted by a military band that played the Star Spangled Banner – twice.

[http://www.whitehousedossier.com/2013/07/01/raucous-reception-obama-tanzania/]


umasikini na ujinga ni udhaifu mkubwa sana........
 

US President Barack Obama (L) dances to music alongside Tanzanian President Jakaya Kikwete upon arrival on Air Force One at Julius Nyerere International Airport in Dar Es Salaam, Tanzania, July 1, 2013.

Kama twins na wanameremeta
 
Tayari ameshapita ktk 😕"zuria"😕 alilotandikiwa kuelekea ikulu na anawapungia mkono watu.

Dah..!!! Samahani lakini kitu kinaniudhi hichi dah!!!! Uvivu wa kutumia ulimi wala si kingine!
 
cheki tbc na star tv wameungana nao ila haya mambo ya kubadili badili majina ya barabara siyapendi kama nini..

I hope hawatakuja kubadili na jina la mlima kilimanjaro.....
 
Mkuu nini tena hiiii?

Utawala bora......

Mkuu malizia kabisa... hiyo ni kazi ya utawala bora wa ccm ya Kikwete.

Unajitambua kweli wewe? Mapicha ya ajari za magari ndio unayaleta humu kuhalalisha uongo wako? Watu mnaowaua kwenye mikutano yenu ya siasa mnadhani ndio mtaeleweka kwa uongo kwenye jamii ya kimataifa?. Poleni sana.

Kweli wewe hamnazo kabisa. Huyo alikuwa NI mtoto wa miaka tisa TU, alipigwa risasi na policcm na kufariki papo hapo wilayani Tarime hivi karibuni, halafu wewe unazungumzia ajali za magari.
 
Anaheshimu haki za binadamu,mwanadiplomasia mzuri, anamejitahidi kwa asilimia kubwa kutekeleza principles of demokrasia na ndio maana ktk wakati wake wamekuja maraisi wawili Usa na wakaacha kwenda jirani kwa wenzetu kwa 7bu hakuna kuheshimiwa kwa hakika za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari.
Wacha wee tanzania hii hii?
 
Back
Top Bottom