Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Chekshia Baba Ritz anavyotiririka kuhusu uhalifu wa Mwanadiplomasia
 
Yaani JK , BANA its a question which involves a young sister and a brother in law.......yaani yaani ....
 
Hiyo mijamaa inakurupuka kama waandishi wa habari wa Kibongo......Wnakariri mnoo....

ABC wanasema BBC....NBC wanasema ABC.......Aibu kweli Nkwingwa

Nafikiri mtu anayechagua wauliza maswali wa upande wa foreign reporters sio salva wa ikulu, salva anachagua wa tz(na huyo wa congo), kuna kitu hakiko sawasawa.

kikwete hajajibu kama mzengi bado ni advisor wake, obama hajajibu kama nsa wanaspy eu
 
a young sister of wife of nani sijui,hata sijaelewa
 
JK amejibu vizuri swali la Nbc reporter na sasa press imeisha Obama anapanda mti wa kumbukumbu.
 
kikwete ameulizwa issue ya mwanadiplomasia aliyefanya trafficking na kuamriwa alipe usd1m, na kama huyo jamaa bado ni advisor wake

yupo anajibu swali anazunguuka, anasema even himself when is going to retire he cannot be able to pay the fine that was order by the US court. but he failed to declare if the gent is still his advisor or not
 
There are currently 3861 users browsing this thread. (278 members and 3583 guests)
 
Samahani mkuu watakuja na huku Soweto Arusha kuweka mashada maana nao ulifanyika ugaidi wa hali ya juu sana kuliko uliofanyika ubalozi wa marekani hapo Dar...

Huko mlijilipua wenyewe tunazungumzia milipuko ya kigaidi.
 
jk blah blah kibao hadi salva kaamua kumkatisha ili kumuokoa
 
Back
Top Bottom