Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Heri kubeba mabox kuliko kula vumbi na kunuka kikwapa! I hope watakuwa wamenunuliwa walau vi deodorant vya bei rahisi.

Mbona hujaja kushirikiana na Rugay na wafu wenzako kumsapoti Obama na sera yenu ya Uliberali?
 
Viongozi wa dunia ktk malengo ya dunia millenium development goals ni moja ya majukumu ya nchi kubwa kuwezeshe nchi ndogo kutekeleza malengo hayo na tanzania twafaidika pia na misaada kutoka kwa usa.
 
Aibu hii kubwa sanaa, maana naona walinzi wote ni wazungu tu, je wale wapumbavu wanaojifanya wanajuwa kila kitu ina maana siku ya leo hawana nafasi na wamepuuzwa au imekuwaje??
 
Mbona hujaja kushirikiana na Rugay na wafu wenzako kumsapoti Obama na sera yenu ya Uliberali?

Nije kutafuta nini huko? Kula vumbi?

Nakula bata la nguvu Stateside. Sina muda na vikwapa.
 
Duh naona thread imenenepa,There are currently 2877 users browsing this thread. (273 members and 2604 guests)
 
Naona mgeni wetu anainjoyi dar












 

Attachments

  • 156307-01-02.jpg
    156307-01-02.jpg
    27.9 KB · Views: 874
  • 156330-01-02.jpg
    156330-01-02.jpg
    33.9 KB · Views: 1,565
  • 156377-01-02.jpg
    156377-01-02.jpg
    47.1 KB · Views: 844
breaking NEWS

PRESIDENTAL PRESS UNIT YA TANZANIA INASTREAM HII KITU LIVE FROM WEBSITE YA IKULU....

HONGERENI SANA AKINA PREMI NA SALVA KWA HILI
 
acha majibu yako mepesi kwa swali la msingi

michuzi ni mpiga picha wa rais...how hard is it kwa wao kumnunulia vitendea kazi vinavyoeleka?
Wewe unaona hizo picha amezipiga wapi?

Kumbe common sense is not common!!
 
Sasa msubili speech ya Obama kusisitiza haki za Mashoga nione mipovu itakavyowatoka.
 
Chagonja hapo hatii pua ha ha ha ha ha.

Aibu hii kubwa sanaa, maana naona walinzi wote ni wazungu tu, je wale wapumbavu wanaojifanya wanajuwa kila kitu ina maana siku ya leo hawana nafasi na wamepuuzwa au imekuwaje??
 
muda si mrefu mh obama ameingia uwanja wa ndege na kupokelewa na mgeni wake mh kikwete
 
Sio kitu kibaya kutembelewa na raisi wa taifa kubwa kama Marekani ila kitu kinachonisikitisha juzi nilikwa MNH(Muhimbili National Hospital) kwakweli nilisikitika sana nilikuwa na mgonjwa alipata ajali na ikapaswa kufanyiwa kipimo Ct-Scan cha ajabu tukaambiwa mashine mbovu hivyo twende sehemu inaitwa High-tech tukapate hicho kipimo na gharama yake ni Ths 300,000/- basi ikabidi tufanye kama tulivyoagizwa ili mgonjwa wetu aweze kupata matibabu zaidi,lakini kitu ambacho najiuliza inakuwaje kukosekane kipimo kama hicho katika hospitali kubwa kama hiyo viko wapi vipaumbele vyetu na inakuwaje kwa wagonjwa wanotoka vijijini wakiwa na hali duni si wanafia hapo bila kupata matibabu maana gharama zenyewe ziko juu kupita maelezo.Vipaumbele vyetu viko wapi na viongozi wetu wanawaongoza nani kama hata afya za wananchi wao sio vipaumbele kwao au kwa kuwa wao na familia zao wanatibiwa nje ya nchi?Mnisamehe wadau kwa kutoka nje ya mada kidogo ila tuko na safari ndefu sana aise mapaka kufika nchi ya ahadi yaani kila idara tumefeli hakuna sehemu tunaweza kutamba kifua mbele kuwa tumeweza licha ya tambo za viongozi wetu hakuna kitu aise.


wakati madokta wamegoma uliwaunga mkono?
 
Back
Top Bottom