Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Bushi alitugawia net kupitia dola 698 milion,net zimeleta kunguni majumbani we acha tu,walidai dawa inakaa miaka mitano
Obama naye ataacha alama gani
"VV"
 
Hakuna kitu kama hicho bana.

Air Force One ina uwezo wa kukaa angani kwa wiki siku kadhaa tu.

Hiyo niliona kwenye Discovery Channel.

Kesho Air Force One, ataondoka Tanzania na itapita Senegal kujaza mafuta.
 
There are currently 2674 users browsing this thread. (268 members and 2406 guests)
 
Mkuu, Kikwete akienda USA ni kuwa anajilipia kila kitu mwenyewe/Tanzania inalipa.

Ndiyo maana nikauliza kutaka kujua kwa Tanzania, anapokuja Rais wa USA au viongozi wengine ni nani analipia.

Hivyo, usije hata siku moja kudhani unaelewa kila kitu kumbe kuna vitu ambavyo ulidhani unajua ila ukweli hujui/hufahamu.
Kodi zenu ndo zalipia mapambo haya, usiulize mbwa ananyea wapi ilhali mkia wauona atiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi how hard is it kwa MICHUZI kununua CAMERA NYINGINE?

MBONA PICHA ZAKE ZIKO LOW QUALITY?
 
Ila kiukweli nimegundua hisia hazizuiliki ha!!nimejikutaje nimetoka ofisini na kwenda kusimama
barabarani Nyerere rd loh,migari yenyewe imepita speed halafu hata huwezi jua lipi kapanda Obama
nilichoambulia ni kuona tu magari yao ah'

Hahaha iko cheka sana bwana mkubwa yaani wewe unahisia za upendo bwana.
 
Yani hata michuzi anapiga picha chumbani kwake na kuweka kwenye blog yake huku akiitegemea TBCcm, ndio sosi yake, kweli Obama ni rais wa dunia.
 
Tafadhali bana. Kuna kufanya kazi na KUJISHUGHULISHA. Hayo ni maneno ya Rashid Makame (RIP).
Bora wewe uliyepata mwaliko wa kumpokea hapo magogoni, kuna watu tangu asubuhi wamejipanga barabarani wakimsubiria Obama. Afu jioni wanarudi makwao kuwadai wake zao au mama zao ubwabwa, kwamba wamechoka na kazi.

Anyway ngoja tuendelee kumsubiri mjomba Obama, mimi niko hapa Vingunguti kuna bonge la nyomi linamsubiri Obama.
 
Yani hata michuzi anapiga picha chumbani kwake na kuweka kwenye blog yake huku akiitegemea TBCcm, ndio sosi yake, kweli Obama ni rais wa dunia.

pale kupiga picha ni kazi sana,
may be it is the only source he could rely at the moment
 
Bushi alitugawia net kupitia dola 698 milion,net zimeleta kunguni majumbani we acha tu,walidai dawa inakaa miaka mitano
Obama naye ataacha alama gani
"VV"
Net zenyewe tunafugia kuku na kuweka katika bustani za mbogamboga zisiliwe na kuku...
 
Back
Top Bottom