Obama anapita na watu wanaotoa machozi wakimshika mkono hawataki kumuachia. Karibu Tanzania Obama cc tunamapendo ni watu wachache tu wanataka kuharibu hali ya hewa.
Siyo udini huo ndiyo ukweli...sasa subiri Papa wa Vatcan aje ndipo utaamini nisemacho. Na hapa kunawatu nawatafuta.
So stay away
Obama anapita na watu wanaotoa machozi wakimshika mkono hawataki kumuachia. Karibu Tanzania Obama cc tunamapendo ni watu wachache tu wanataka kuharibu hali ya hewa.
Ufagio wa chelewa kwenye carpet au ni macho yangu
Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!
labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!
labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
6.The plane carries 53,611 gallons (about 203,000 litres) of fuel and weighs 833,000 pounds (about 377,000 kg) fully loaded for a long-range mission. With a full tank, the plane can fly half way around the world. The plane has mid-ir refueling capability. As with the B-2 and other combat craft, in-flight refueling gives Air Force One the ability to stay up in the air indefinitely, which could be crucial in an emergency situation
badala ya kujiombea wewe na familia yako!!!!
teacher namwamiania kesha cremisha point zote mukichwa!!!!!!!
siyo mbaya lakini tutakuwa tumepata sifa ya kutembelewa na Rais wa Dunia. yeye anaondoka na madini,sisi anatuachia net za mbu.Huenda tukawa masikini zaidi kuliko alivyotukuta
amepigwa marufuku kutoka nyumbani kwake mpaka ugeni huu utakapoondoka......
Hakuna kitu kama hicho. Kinachowezekana ni kuwa Air Force One inaweza kuwekewa mafuta angani lakini siyo kumtoa mtu ndani ya ndege moja kuingia ingine.Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!
labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
Ajira ya watu hyoHivi hao wapiga vigelegele wametolewa wapi? Hawana kazi zingine za kufanya?