Kwenye red hata Chagonja nae yupo....Duh naona thread imenenepa,There are currently 2877 users browsing this thread. (273 members and 2604 guests)
Chagonja saa hizi anakula mchemsho kwa Mromboo!!Chagonja hapo hatii pua ha ha ha ha ha.
Dah, haya bwana
Chagonja hapo hatii pua ha ha ha ha ha.
tupe linkbreaking NEWS
PRESIDENTAL PRESS UNIT YA TANZANIA INASTREAM HII KITU LIVE FROM WEBSITE YA IKULU....
HONGERENI SANA AKINA PREMI NA SALVA KWA HILI
View attachment 100360View attachment 100362
Jiulize hawa waliojipanga kumpokea Obama wamelipwa kiasi gani. Na je yale mabango ya barabarani, picha za Obama barabara za Ali H Mwinyi, Sam Nujoma nk pamoja na bendera za Tz na US barabarani, we unadhani hiyo branding yote imegharimu kiasi gani?
Yaani hata hujakosea....ndo niko kwenye msafara mmoja...LOL!!
Karibu Obama ila naomba ukiondoka uondoke na Mwigulu, Nape, Kinana, Wassira, Lukuvi na Pinda.
Kwa maelekezo zaidi tafadhali unijulishe ukiwa unashuka nao D.C.
.....Mungu atusaidie wale jamaa wanaopanga bajeti ya safari za rais wasihusike kwenye hili,maana watautumia huu mwanya mpaka ushangae....
Acha kuwadanganya watanzaniaUrafiki wa muda mrefu uliopo kati ya tanzania na marekani, fursa za uwekezaji na kukua kwa demokrasia na utawala bora ni sababu kubwa zilizomfanya hussein obama kuja tanzania hii ni sifa kubwa kwa mh raisi kikwete.