Obama mshamba kweli naona anashangaa vikundi vya ngoma za asili hapa.
Hivi amekuja kufanya nini vile?
Maana niliskia ujio wake lkn sjaambiwa anakuja kufanya nn!
ana body nzuri kweli utafikiri ana miaka 30 hivi,mama salma kanenepeana kila sehemu
ana body nzuri kweli utafikiri ana miaka 30 hivi,mama salma kanenepeana kila sehemu
hakuwa hivyo alikuwa mzuri kinomandio chaguo la mzee.
Karibu sana Obama ila uyakutayo na uyaache kama yalivyo.
Wewe kama sio Mkei utakuwa Myarwanda, acha dharau
ma.sabur.i
Karibu sana Obama ila uyakutayo na uyaache kama yalivyo.