Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,541
- 139,849
namwombea mama salma ili point za kumweleza michelle obama zisi-evaporate,kitete jamani
Vipi kuhusu Polisi na wanausalama Ktz. Nasikia hawaruhusiwe kubeba siraha. Je wanaonekana wako na siraha au ni marungu tu!.
Swali la kizushi: hivi hizi barabara zikiisha tutaamia kuzibadiza mbuga zetu majena ya hawa wateule?
Yaani wamevaa sare ya kitenge na t-shirt na kofia yake
full masinonda wanawake na wanaume.
Mimi niko kati ya hao wanaomba kumsalimia baba Ritz
Kwetu hakuna linaloshindikana.
C kodi yakoHivi nani analipia gharama za hayo Mapambo na nguo?
Nukta za nini sasa?
namwombea mama salma ili point za kumweleza michelle obama zisi-evaporate,kitete jamani
lini utaacha ukabila mkuu?with due respect nawapogeza tbc1 kwa live coverage nzuri.ni tofauti kabisa na zile poor and regular coverages we used to watch...big to wanyasa nasi tumo.
Acha matusi mkuu.
Watz wamefrai sana kutembelewa na rais wa dunia
Swali la kizushi: hivi hizi barabara zikiisha tutaamia kuzibadiza mbuga zetu majena ya hawa wateule?
be specific...Kikwete wewe ni the best ever president happen in this country.
Comments za waandishi wa habari wa TBC 1 zingine zinashangaza kabisa na za uongo. Kwa nini wasotafute facts mapema na kuzitumia wakati wa matangazo live. wanajua wanaoangalia na kusikiliza ni watu wa aina gofauti na wengine ni waelewa. Kuna mmoja kasema eti rais anaweza kubadilisha ndege angani!
Kwa lipi? Unafurahi kwa kumleta Obama au kunalingine?Kikwete wewe ni the best ever president happen in this country.