Chacha Kisiri
Senior Member
- Nov 1, 2008
- 156
- 161
Kwanini Membe hajatambulishwa pale JKN Airport?
Hakuwepo kwenye list iliyopitishwa na FBI kutambulishwa kwa Obama.
Kwanini Membe hajatambulishwa pale JKN Airport?
Mkuu usipate shida kimbilia luninga ya karibu TBC1 wanarusha. Au kwa wale wenye startimes phones wanaweza kuendelea.picha tafadhali
Mi mwenyewe najiuliza hii badget inatoka wapi?
Hongera our President Hon J M Kikwete
Anaelekea ikulu saivi
Hivi nani analipia gharama za hayo Mapambo na nguo?
Kapanda gari moja na JK au kila mmoja kapanda gari yake? Manake JK anavyotamani ku-ride kwenye Beast ni balaa
Hakuwepo kwenye list iliyopitishwa na FBI kutambulishwa kwa Obama.
Kikwete wewe ni the best ever president happen in this country.
Hakuwepo kwenye list iliyopitishwa na FBI kutambulishwa kwa Obama.