Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
Inapendeza,Mungu ni mwema.naona mabango yanainuliwa.
Kijana aliteseka kwelikweli.. He paid for a certain price .. It is now a good time to see the price he paid for..
Inapendeza,Mungu ni mwema.naona mabango yanainuliwa.
fadhila zake za milele.Karibu tena nyumbani Dr!! Hakika Mungu ni mwema!!!
Wacha bwana! kwani yeye naye ni mbunge?karibu bongo
issue yako ipo mahakamani na please hutakiwi kusema chochote kile kwa kesi iliyopo mahakamani maana kusema tu ni kuingilia mhimili wa mahakama
karibu sana mwanaharakati wa ukweli.Karibu tena nyumbani Dr!! Hakika Mungu ni mwema!!!
Wacha bwana! kwani yeye naye ni mbunge?
Ili iwe nini?nashauri ulimboka ampigie simu abedi na amwambie kuwa amerudi salama
Script writer: Ikulu
Director: Pinder
Locations Manager: Side Mwema
Production: Mabwepande
Title: Liwalo na Liwe
ccm dhaifu
We better give thanks to the most
High Raster Farie say hiiiigh Rastaaaaaaa!....
ndege imetua naiona kwa mbali imepaki. walio karibu watujuze.
Hivi unafahamu kwamba silence is best option kama huna la kuchangia?i hope kupona kwake ulimboka amejifunza kwamba GOD is a Greater MD than him "ulimboka" .. Asijifanye tena mungu mtu na kuweka rehani roho za watanzania maskini kwa mgomo ...
Director:Ahmed msangi
Producer:Ramadhan Ighondu,
Actor:Joshua Malundi
DOP:....................
Continuity:Kova