UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Serikali tafuteni hii kitu...
ct-scan.jpg

Watafute au wanunue??
 
Kaka itv imeonyesha in details, tbcCM wamepewa ka memo na serikali isipewe uzito, liwalo na liwe hata wasipotangaza alimradi amerudi salama ashukuriwe Mungu.
 
Serikali tafuteni hii kitu...
ct-scan.jpg

CT-Scan.jpg
Ritz, what are u trying to say? Mbona kule Musoma vijana wanne wa usalama wa taifa walikamatwa na masanduku ya kura bandia na kukabidhiwa polisi, lakini mpaka leo hatujasikia lolote? Lililosemwa lilikuwepo.
 
Unataka update GANI? Follow up in the media Kila TV Imeripoti labda hao TBC Maana nilishaacha kuangalia tangu siku ile Kila CHOMBO kiliripoti issue ya ulimboka wao wakasubiri hadi BAADA ya habari za kimataifa ndo wakapewa kibali cha kuirusha ikawa highly sensored
 
SERIKALI ICHEZEE WATU LAKNI ISIMCHEZEE MUNGU....hah...!!
HE IS NOW REGARDING HIMSELF AS GOD...dah.
Sasa huyo serekali atachomwa moto wa jehanum milele AU?
Kuna jamaa humu anaitwa Mbopo alisema kuwa Dakta afunguliwe mashtaka ya kuhujumu uchumi na mauaji. Haya dakta wetu karudi, bwana Mbopo na wote mnaounga mkono serikali dhalimu kafungueni mashtaka.
 
Kurejea nyumbani ni jambo moja jema. Wasi wasi ni je hao akina Ighondu, Zoka na mabwana zao waliowamuru wamuue wataacha kujaribu tena ili kuondoa udhia? Je usalama wake umehakikishwa kisheria? Ni mapema kushangilia kwenye nchi ya kifisadi na kijambazi. Time will surely tell.

Kwa kweli kama wakijaribu tena kumdhuru mbona patachimbika bila hata jembe...!!

Na nitawaona hawana akili kabisa. Licha ya hivyo, sitashangaa kabisa kama wakijaribu tena kwa sababu sidhani kama wana akili kihivyo.
 
Si nishasema wewe Zomba m.w.e.h.u! Pia ni mchawi! Afu you dont believe on the existance of God! Shetani wee!
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood is Gooooooooooooooooooooood

God bless Dr ulimboka

There are currently 774 users browsing this thread. (205 members and 569 guests)

Jamaa la magogoni lipo linachungulia
 


wewe litoto la shule nini? hatuna monitors hapa, tuna moderators..idiot

Relax numpty head, umekurupuka , this is btw me & him .. who thinks he can tell people do this & do that humu JF while he is nobody zaidi ya kuwa ni registered member kama mimi ..
 
Kurejea nyumbani ni jambo moja jema. Wasi wasi ni je hao akina Ighondu, Zoka na mabwana zao waliowamuru wamuue wataacha kujaribu tena ili kuondoa udhia? Je usalama wake umehakikishwa kisheria? Ni mapema kushangilia kwenye nchi ya kifisadi na kijambazi. Time will surely tell.
amini amini hakuna mwenye uwezo wa kutoa roho ya mtu na akabaki salama. wale waliohusika nguvu ya mungu inawasumbua mno na hawana amani na maisha ya duniani.
 
kazi walishamaliza hakuna kilichobaki ganda tupu hilo. kama waliweza kupunzika naye usiku kuja msituni . wakamngoa meno ,wakamchomoa kucha , wakamla tigo etc . sasa nini kingine hawajamfanyia . mshaulini tu awe anahudhulia kanisani na aache pombe.

Muoneni mwana CCM huyu! Ndio kinachompa furaha huyu alichoandika hapa! Yeye na JK ndo kinachofurahisha nyoyo zao.
 
Utukufu uu na Mungu Mbinguni. Amani duniani kwa watu alio wadhiria.
 
Fuso hiyo imani yako ni ya ajabu kweli kweli na hatari. Mbona kuna mifano hai hapa Tanzania. Jiulize akina Kolimba, Komba, Sokoine na wengine wengi walipotolewa roho zao nini kilitokea? Hata kama una imani unapaswa kutumia akili na busara. Ingekuwa hivyo Mungu asingetoa amri ya Usiue kama binadamu hawaui. Ndiyo maana hakuna amri isemayo usiumbe kwa vile Mungu alijua mwanadamu hawezi kuumba. Tia akilini mwanangu na wengine wenye mawazo kama yako.
 




Relax numpty head, umekurupuka , this is btw me & him .. who thinks he can tell people do this & do that humu JF while he is nobody zaidi ya kuwa ni registered member kama mimi ..
okay dunderhead
 
karibu nyumbani bigwa wetu umayashinda mauti ya mashetani na uje uwe shuhuda wa anguko la madhalimu.
Sijui wataziweka wapi sura zao zilozokonda na kuwa kama asprin kwa aibu
 
Hakuna cha ku cross the line, kijitu kimoja kicheze na wagonjwa wetu maelfu kwa maelfu, halafu kitiwe adabu nyie mkionee huruma? roho za wangapi zimepotea kwa kukosa huduma ya madaktari. huyo hafai kuonewa huruma hata kidogo. Tena nasema waliomtandika, yeyote awae, kafanya kazi nzuri sana.

Yeye haja cross the line? anapohamasisha madaktari kugoma?

Huyo hukumu yake ni kifo, ashukuru mungu hao vijana walikuwa wanamtia adabu tu na hawakutaka kummaliza.

Atarudia?

January 1,2016 ukimbilie Somalia!
 
Ulimboka anatufundisha ujasiri.mapambano ya haki hushinda mauti!
 
Back
Top Bottom