JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Hata sikuelewi
Nimekuuliza wapi uliona raisi kavaa kijani kanisani
Unaniletea habari za wajinga,
Ccm wakifanya upumbavu na nyie mnaiga upumbavu huo.
Nacho pinga ni siasa (haijalishi ni chama gani) ndani ya kanisa (bilakujali ni kanisa/zehebu gani).
..hata asipovaa kila mtu anajua ni ccm na anazungumza kwa niaba ya ccm.
..sasa kama miaka na miaka ni nyinyi tu anaohutubia makanisani na misikitini kwanini mnafura chadema au chama kingine wakionekana ktk nyumba za ibada?