UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Mbona hizo picha hazionesho Mwili wa mtu? Ni Nchi gani Mkuu
Qatar
Yaani kila nchi unajifunza sheria zao la sivyo unaweza kufia jela
Fine
Screenshot_20240225_000330_Google~2.png
 
Arusha ni mji wenye barabara chache sana ni vigunumu kujiepusha na ajali kama hizi….barabara ni nyembamba sana….
Hilo gari la kenya limetuletea baraha kabisa
 
Habari wadau

Nipeni muda kidogo nitawajuza uharibifu ni wa kiwango gani lakini ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana, watu wengi wamefariki.

Kwa wasiojua Ngaramtoni ni Arusha, Nairobi Road.

Kwa kifupi ni kwamba imeua wazungu wengi sana. Walikuwa kwenye Coaster pamoja na Raia na waendeshaji wa hiyo Truck pia.

=============

Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia katika ajali iliyohusisha Lori la Mizigo (Semi Trailer) na magari madogo matatu iliyotokea katika eneo la By Pass Ngaramtoni, Wilayani Arumeru ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda, Lori hilo aina ya Scania lenye namba za Usajili ZF 6778 lilikuwa likionesha ishara Taa za Hatari likiwa katika mwendo mkali na baadaye kuyagonga magari matatu ambayo ni Basi dogo la Abiria (Hiace), Basi la Shule ya New Vision lililokuwa na Watumishi wa Shule na Gari lingine dogo.

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP, Justine Masejo, amethibitisha taarifa hiyo na kuwataka Wananchi kufika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru kutambua Miili ya waliofariki katika ajali hiyo.
Kamanda kama kafurahia hili jambo
 
Back
Top Bottom