Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,011
- 51,224
Utashangaa wanaihusisha hii ajali na matayarisho ya maandamanoKamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP, Justine Masejo, amethibitisha taarifa hiyo na kuwataka Wananchi kufika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru kutambua Miili ya waliofariki katika ajali hiyo.