UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Mitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!

Hiyo namba ya gari ni ya Tz kweli?
 
Sijawahi kuona dereva ku****a kama huyo

Lori limekata breki toka kilima moto more than 3 kms to kibaoni ( bypass) kuanzia hiyo kilima moto mpaka habari maalum radio kuna uwazi mkubwa mno angeweza kabisa kuepusha haya tunayoyaongea sasa .Kakomaza fuvu kwamba atalihimili mpaka anafika kwenye population kubwa ya watu
Kama alibeba chuma zito nyuma ilikuwa sio rahisi kujitupa chocho ila kontena unachochora tu😂
 
Mitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!
Hii ni kweli nikishakumbana na mkasa huo, dereva wa roli la mchanga aliona Hana breki za kutosha, na mbele yake kuna roli Kubwa la mchanga, akaona Bora aje kuniua Mimi na familia yangu Tukiwa kwenye Noah. Tumetoka salama namuukiza ilukuwaje ukahama, anasema "Sasa unategemea nini nijigongeshe kwenye roli niumie?" Kesi ilibidi tuimalize mahakamani sikutaka maelewano Wala nini.
 
Exactly mkuu, kuna watu wapumbavu sana,wao wanaona ni kawaida kuweka picha kwenye social networks it's immoral, few days pale kijiji cha Mahenge kabla ya kuanza Kitonga pass, IT moja na tanker zime collide head on,usiku mkubwa ,mpumbavu mmoja akatoa simu kutaka kuchukua picha, Nkanini nilimfanyia push back hatakuja kusahau maishani mwake, ni kenges kabisa
Ni wapumbavu tu wanaotoa simu na kuanza kupiga picha hovyo
Baadhi ya watu ni wajinga sana
Tena nashauri kila anaeona mtu anapiga picha amkaripie sana
Uhuru umepitilza huo tena wa kishenzi kabisa
 
Hii ni kweli nikishakumbana na mkasa huo, dereva wa roli la mchanga aliona Hana breki za kutosha, na mbele yake kuna roli Kubwa la mchanga, akaona Bora aje kuniua Mimi na familia yangu Tukiwa kwenye Noah. Tumetoka salama namuukiza ilukuwaje ukahama, anasema "Sasa unategemea nini nijigongeshe kwenye roli niumie?" Kesi ilibidi tuimalize mahakamani sikutaka maelewano Wala nini.
Pole sana
Hivi dereva wa lorry kwanini alikimbize wakati anajua fika ni hatari
Huwa wanajifanya wana haraka sana, wakijua mzigo ni mzito
Na traffic wetu wanachangia sana kula hongo maana unakuta hata matairi yana kipara lakini anaachiwa kwa 20,000 akauwe
 
huwa wanamagari yao malumu kwa usafiri wa wageni wakitalii si basi la shule alafu tumia akili sipendi ujinga
Sasa hata kama ingekuwa ni special hire ya coaster wangepona vipi kwa case ya namna hio? Ishu ni ajali na hao huenda ni wafadhili wa shule hio wamekuja kuitembelea wakaona wapate na taste ya gari zinazobeba wanafunzi wao.
 
Acha lawama zisizo na maana, hiyo si ajali ya makusudi na mashuhuda wamesema wameliona gari likiwasha hazard likionesha dharura
Sasa Hazard inasaidia nini kama unajua kabisa lori haliwezi simama? Yeye angechochora tu hata mashambani kama fursa hio alikuwa nayo. Una control vipi gari ambayo ishakukataa. Malori mengi Breki na gearbox clutch zinategemea upepo kama upepo hamna maana yake gia hazivuki na halitasimama.
 
Sasa hata kama ingekuwa ni special hire ya coaster wangepona vipi kwa case ya namna hio? Ishu ni ajali na hao huenda ni wafadhili wa shule hio wamekuja kuitembelea wakaona wapate na taste ya gari zinazobeba wanafunzi wao.
usikute walifaulishwa katika huo usafiri mana arusha kuna ujanjaujanja sana uchunguzi ufanyike pia
 
RIP

Kweli kifo kipo popote hao Marehemu wala hawakujua km wangepata ajali hio ya dereva wa Lori mzembe alishindwa kuliingiza machakani au hata mtaroni mpaka akawaue watu wote hao
 
Hii ni kweli nikishakumbana na mkasa huo, dereva wa roli la mchanga aliona Hana breki za kutosha, na mbele yake kuna roli Kubwa la mchanga, akaona Bora aje kuniua Mimi na familia yangu Tukiwa kwenye Noah. Tumetoka salama namuukiza ilukuwaje ukahama, anasema "Sasa unategemea nini nijigongeshe kwenye roli niumie?" Kesi ilibidi tuimalize mahakamani sikutaka maelewano Wala nini.
😂😂😂😂😂😂 Ndo ajali zinavyokuwaga hivyo na mshukuru mlipata pa kupumulia pembeni mkamkwepa maana kungekuwa hamna jinsi angewavagaa mazima.

Na hii ndio sababu kuu mimi hupenda kukaa siti ilioko upande wa dereva nikiwa nasafiri na basi la umma.
 
Back
Top Bottom