mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,230
Madereva wengi ni wendawazimuuuSijawahi kuona dereva ku****a kama huyo
Lori limekata breki toka kilima moto more than 3 kms to kibaoni ( bypass) kuanzia hiyo kilima moto mpaka habari maalum radio kuna uwazi mkubwa mno angeweza kabisa kuepusha haya tunayoyaongea sasa .Kakomaza fuvu kwamba atalihimili mpaka anafika kwenye population kubwa ya watu
Ova