... have been killed ...Are dead
Mitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!Km zote hizo dereva kashindwa kuliangusha mtaroni au kugonga mti anasababisha watu wengi wafe na wajeruhike?
Habari wadau
Nipeni muda kidogo nitawajuza uharibifu ni wa kiwango gani But ukweli ni kwamba Hali NI mbaya sana Dozens of people were died Kwa wasiojua NGARAMTONI ni Arusha Nairobi Road
In short ni kwamba imeua wazungu wengi sana
Walikuwa kwenye Coaster na Raia na waendeshaji wa hiyo Truck pia
... have been killed ...
Kuna kitu kinaitwa Udereva wa kujihami. Unaweza fanya hivyo mkuu.Mitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!
Km umepita ukakuta Toyo na damu ziko chini za kutosha hukutaka hata kujua damu za nn na why hizo Toyo zipo chini? Nenda kacheki afya ya akili yako ndgImetokea saa ngapi maana nilipita ngaramtoni nikaona damu na toyo ziko chini za kutosha
Acha upumbavu, picha za ajali wewe unazitakia nini?,mtoa hoja pls never ever ku post picha za ajali ,hii ni immoralWeka na picha kabisa
[emoji28]Km umepita ukakuta Toyo na damu ziko chini za kutosha hukutaka hata kujua damu za nn na why hizo Toyo zipo chini? Nenda kacheki afya ya akili yako ndg
Naujua Mkuu. Mwendawazimu anaingilia haki zako za barabarani na unajua rights zote ni zako but kuepusha shari unamwacha aende zake! Mabasi ya abiria na magari ya serikali yanaongoza kwa wendawazimu barabarani.Kuna kitu kinaitwa Udereva wa kujihami. Unaweza fanya hivyo mkuu.
Is human being the only killer?Have been killed by a Human being?
Mkuu, mbele ya ajali nadhani ni utashi wako tu unatumika,sidhani kama utaanza kuvuta kumbukumbu za makabrasha uliyojifunza chuo Cha udereva katika Hali kama hiyoMitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!