Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,958
Ni Utingo, ukisoma vzr hapo nimeandika neno INASEMEKANA. unajua maana yake?Na yule niliyemuona kavimba Uso anahojiwa pale Hospitali ni nani?
Ni Utingo, ukisoma vzr hapo nimeandika neno INASEMEKANA. unajua maana yake?Na yule niliyemuona kavimba Uso anahojiwa pale Hospitali ni nani?
Ndio maana na mimi nimeuliza sio kama nilikuwa nasisitiza.Ni Utingo, ukisoma vzr hapo nimeandika neno INASEMEKANA. unajua maana yake?
Dereva alipiga honi na kuwasha taa kubwa na hazard, nao wakawa wanampigia honi na kuwasha taa huku wakiona hilo lori limebeba katapila na linakwenda kasi sana.
Aliziona Toyo na damu ziko chini za kutosha "akapita na hamsini zake".Km umepita ukakuta Toyo na damu ziko chini za kutosha hukutaka hata kujua damu za nn na why hizo Toyo zipo chini? Nenda kacheki afya ya akili yako ndg