UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Sijawahi kuona dereva ku****a kama huyo

Lori limekata breki toka kilima moto more than 3 kms to kibaoni ( bypass) kuanzia hiyo kilima moto mpaka habari maalum radio kuna uwazi mkubwa mno angeweza kabisa kuepusha haya tunayoyaongea sasa .Kakomaza fuvu kwamba atalihimili mpaka anafika kwenye population kubwa ya watu
Aidha Alikua mbinafsi huyo alitaka wafe wengi aidha alipaniki yote yanawezekana
 
Habari wadau

Nipeni muda kidogo nitawajuza uharibifu ni wa kiwango gani lakini ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana, watu wengi wamefariki.

Kwa wasiojua Ngaramtoni ni Arusha, Nairobi Road.

Kwa kifupi ni kwamba imeua wazungu wengi sana. Walikuwa kwenye Coaster pamoja na Raia na waendeshaji wa hiyo Truck pia.

=============

Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia katika ajali iliyohusisha Lori la Mizigo (Semi Trailer) na magari madogo matatu iliyotokea katika eneo la By Pass Ngaramtoni, Wilayani Arumeru ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda, Lori hilo aina ya Scania lenye namba za Usajili ZF 6778 lilikuwa likionesha ishara Taa za Hatari likiwa katika mwendo mkali na baadaye kuyagonga magari matatu ambayo ni Basi dogo la Abiria (Hiace), Basi la Shule ya New Vision lililokuwa na Watumishi wa Shule na Gari lingine dogo.

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP, Justine Masejo, amethibitisha taarifa hiyo na kuwataka Wananchi kufika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru kutambua Miili ya waliofariki katika ajali hiyo.
Daah balaa mno,poleni wafiwa na majeruhi wapate afueni.
 
Kusema ni Tukio la kigaid si rahisi, unatakiw ufanye reasoning.. hilo ni lori na ametoka huko alikotoka, kakoleza speed, pia alikuwa anaonesha ISHARA ya kusogeza gar pembeni ila watu hawakumuelewa anamaanisha nini.

Inasemekana gari imefel kilometa 3 nyuma.. so kulikuw na warning signs kazionyesha.

Tukio la kigaidi huwez kubet kias hicho kwamba gar fulan itakuw point fulani.. without gari nyingine kuingilia kati kwa distance ya km3.

Yaan umuweke TARGET wako ukiwa km3 uje umgonge sio rahisi.
 
Back
Top Bottom