UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Hakika Mungu awape nguvu walioathirika na hii ajali!
Magari yamekuwa chapati[emoji17][emoji17]
Screenshot_20240224-202812~2.jpg
Screenshot_20240224-202748~2.jpg
Screenshot_20240224-202708~2.jpg
 
Sijawahi kuona dereva ku****a kama huyo

Lori limekata breki toka kilima moto more than 3 kms to kibaoni ( bypass) kuanzia hiyo kilima moto mpaka habari maalum radio kuna uwazi mkubwa mno angeweza kabisa kuepusha haya tunayoyaongea sasa .Kakomaza fuvu kwamba atalihimili mpaka anafika kwenye population kubwa ya watu
 
Kwani hiyo sehumu ina mteremko sana? Maana hata kama ime feli brake inafika Muda Acceralation inaisha na kasi ya mwendo inapungua
 
Sijawahi kuona dereva ku****a kama huyo

Lori limekata breki toka kilima moto more than 3 kms to kibaoni ( bypass) kuanzia hiyo kilima moto mpaka habari maalum radio kuna uwazi mkubwa mno angeweza kabisa kuepusha haya tunayoyaongea sasa .Kakomaza fuvu kwamba atalihimili mpaka anafika kwenye population kubwa ya watu
labda aliyekuwa anaendesha ni Tandiboi sasa akaona akipiga mzigo chini ataenda eleza mabosi kwanini kaendesha gari. Akajipa moyo bora kukomaa nalo labda atamudu, kumbe wapi!.

Alisahau kuwa; Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Mitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!
Wakati wa tukio la Ajali, mara nyingi akili huhama na mtu asijue la kutenda kwa busara au kukumbuka yale aliyojifunza. Wengi huzidiwa kwa kupanic hususan ukizingatia udereva wetu huu wa kuunga-unga. RIP wahanga na Mungu awajalie majeruhi wepesi wa kupona majeraha. Inasikitisha sana.
 
Habari wadau

Nipeni muda kidogo nitawajuza uharibifu ni wa kiwango gani lakini ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana, watu wengi wamefariki.

KKwa wasiojua Ngaramtoni ni Arusha, Nairobi Road.

Kwa kifupi ni kwamba imeua wazungu wengi sana. Walikuwa kwenye Coaster pamoja na Raia na waendeshaji wa hiyo Truck pia.
pole sana wahusika...
 
Unaweza kunyosha hata kwenye shamba la migomba ikapunguza Injuries
Hawa Madereva vijana anakabidhiwa Gari hata ku Drain Air Tanks hajui hajui hata kucheki Shoes au Pads ha kujui hata Adjustment ya Breki hajua hata kuangalia kama Drums zimepanuka.

Mimi kuna Kijana nimemfunza kazi na kaiva na ana miaka nane sijasikia ajali hata ya kugonga mbuzi au sungura.
 
Back
Top Bottom