Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,123
- 60,862
KumbeHata Bongo Sheria hii ipo
Lakini hawazifuati wala kujali, ila kama wangetozwa fines hata laki 5 wangekoma
Dawa ya binadamu ni kumuadhibu kwenye mfuko wake tu
KumbeHata Bongo Sheria hii ipo
Hata Kama wewe ni dereva mama.yako kakaa kushoto kwa dereva na Kuna ajari ya uso kwa uso ni lazima utalengesha upande aliokaa mama yako ili wewe unusulike hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwaMitaala yetu (kama ni mTanzania) ya udereva inafundisha hayo? Madereva wenyewe wana regular courses kuwafundisha na kuwaanda kisaikolojia how to minimize casualties during accidents. Dereva aliyeandaliwa vizuri hu-focus kupunguza vifo na majeruhi kwenye ajali. Hawa wenzetu na sisi hujiangalia wao tu!
Sasa toka lini sirikali ikatoa idadi kamili?? Kufa kufaana ndugu... ila wengi wameenda Mwenyezi Mungu awarehemu.Wengine wanasema 22 dead, wewe unasema 15.
Si unajua tena wageni ni wazunguHili Lori ni la Kenya limeingiaje Nchini bila hata Honi limeruhusiwa vipi?
rip wote waliotangulia mbele za haki.lilikuwa likionesha ishara Taa za Hatari likiwa katika mwendo mkali na baadaye kuyagonga magari matatu ambayo ni Basi dogo la Abiria (Hiace
Hata watu wanaokuona pia uko Driving school,huwa wanakushangaa,na kukuambia unapoteza pesa zako bure,ungejifunza mtaani tu yatosha.Tanzania mtu ukienda driving school unaonekana mshamba. Ni jambo la ajabu sana na watu wanajisifu kabisa.
Inawezekana ikawa ni ugaidi,ichunguzwe.hawa wazungu ilikua vipi wakatumia huo usafiri inafikirisha sana
mtu unaweza kufikiri ni tukio la kigaidi
Maneno yako ni sahihi,na hasa hili Lori,lililosababisha ajali,linatoka Kenya,kiko kitu nyuma ya pazia,kimejificha.namana hii napata wasiwasi huwenda ni tukio la kigaidi wallah
Exactly mkuu, kuna watu wapumbavu sana,wao wanaona ni kawaida kuweka picha kwenye social networks it's immoral, few days pale kijiji cha Mahenge kabla ya kuanza Kitonga pass, IT moja na tanker zime collide head on,usiku mkubwa ,mpumbavu mmoja akatoa simu kutaka kuchukua picha, Nkanini nilimfanyia push back hatakuja kusahau maishani mwake, ni kenges kabisaKuna nchi nimepita aisee ukiweka picha ya gari mbili zimegongana kwenye mitandao fine kubwa sana na jela miaka 3 FACT
Ni ujinga sana kuweka picha za ajali na watu waliofariki
Gaidi sio lazima atoke Somalia,gaidi anaweza kuwa mtu yoyote,kwasababu mawakala wa magaidi,wanawalipa hawa watu wanaofanya ugaidi,na kuwaachia familia zao pesa.Lingewekwa wazi jina la dereva.Kila itakavyokuwa,alikuwa passport,leseni ya udereva,kitambulisho,na alipita mpakani,ingetizamwa kwenye mtandao wa immigration,jina lake na picha yake,ukweli ungejulikana.Inawezekana dereva ni gaidi kutoka somalia
Barabarani mambo ni mengi piaNdiyo maana wengi tunaishangaa akili ya huyu dereva
Inaonekana gari lina usajili wa namba za KenyaNikisemaga madereva wengi wanaondesha magari tz ni wendawazim,huu ndiyo uwendawazim wao
Ova
With respect kwako mkuu,RTO au RPC wa mkoa husika je wametoa tamko lolote?,wewe idadi hii umeitoa wapi?,je mganga mkuu ametoa tamko?Idadi ya waliopoteza maisha ni zaidi ya 25 .
Ajali hii Ina harufu ya ugaidi!!!
TISS fuatilieni. Polisi Hilo hawajalihisi.
Si ndio hapo. Kuna mitaro na miti mingi barabarani kashindwa kuligongesha huko hadi kaenda kuua watu bila sababu yoyote. Pumbavu kabisa hilo dereva.Unaweza kunyosha hata kwenye shamba la migomba ikapunguza Injuries
Hakuna cha gari kumshinda dereva, hili linaweza kua ni tukio la kigaidi.rip wote waliotangulia mbele za haki.
sasa huyu dereva wa lori km alishaona gari imemshinda ilikuwaje akaibakisha gari barabarani?
na hawa wa magari madogo kwanini walibaki barabarani baada ya kumuona mwenzao anakuja amewasha hazards? daah
anyway, rip
Inawezekana pia. Kilomita 3 nzima gari limefaili brake then unakuja kwenye maeneo yenye magari na watu wengi.Inawezekana ikawa ni ugaidi,ichunguzwe.
Sisi usiku mzima hatujalala mkuu, seleani na Mt Meru hospital, hali sio.With respect kwako mkuu,RTO au RPC wa mkoa husika je wametoa tamko lolote?,wewe idadi hii umeitoa wapi?,je mganga mkuu ametoa tamko?