UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

Exactly mkuu, kuna watu wapumbavu sana,wao wanaona ni kawaida kuweka picha kwenye social networks it's immoral, few days pale kijiji cha Mahenge kabla ya kuanza Kitonga pass, IT moja na tanker zime collide head on,usiku mkubwa ,mpumbavu mmoja akatoa simu kutaka kuchukua picha, Nkanini nilimfanyia push back hatakuja kusahau maishani mwake, ni kenges kabisa

Ulichokifanya wala sio sahihi.

Bila watu kama hao matukio ungekuwa unapata vipi ikiwa hata vyombo vyenu hivi vya habari vinaendeshwa kisiasa?

Makalio wewe tena ningekuwa mimi nisingekuacha ninge deal na wewe kerbu.
 
With respect kwako mkuu,RTO au RPC wa mkoa husika je wametoa tamko lolote?,wewe idadi hii umeitoa wapi?,je mganga mkuu ametoa tamko?
Ukichelewa kupata infos, usilaumu waliotangulia kupata
IMG_6093.jpeg
 
Ulichokifanya wala sio sahihi.

Bila watu kama hao matukio ungekuwa unapata vipi ikiwa hata vyombo vyenu hivi vya habari vinaendeshwa kisiasa?

Makalio wewe tena ningekuwa mimi nisingekuacha ninge deal na wewe kerbu.
Upumbavu huu, ungependa kuona picha ya baba yako amekufa ajalini kwenye mitandao?,ni sheriff ndiye anatakiwa kukupa taarifa
 
Kwanin mnapenda kutishatisha raia?,je kama alikuwepo eneo la tukio na amehesabu maiti zilizotolewa hapo unataka asiseme[emoji706]
Yeye sio msemaji rasmi, ni RTO,RPC au mganga mhusika ndiye anayetakiwa kutoa taarifa sio kila mtu, na pia ni haki yako kila baada ya 90 days kujua hali ya matukio kwenye mkoa wako, crime statistics zinatakiwa kutolewa kwa public na ajali zote
 
Upumbavu huu, ungependa kuona picha ya baba yako amekufa ajalini kwenye mitandao?,ni sheriff ndiye anatakiwa kukupa taarifa

Ajali ni tukio kama matukio mengine..

Kama ukipata nafasi ya kuchukua picha isiyo ya uchi au kuonyesha utu wake wa ndani basi hakuna tatizo lolote mbona open casket service mnamuona sura yake?

Mtu akiwa na accessibility ya kupata taarifa hasa za matukio ya kijamii kama haya ni vema watu kupata taarifa.
 
Sisi usiku mzima hatujalala mkuu, seleani na Mt Meru hospital, hali sio.
RTO Arusha alifika kwenye tukio masaa 3 baada ya ajali.

VYEO hivi ni vya kimaslahi zaidi kuliko utendaji
What?RTO alifika baada ya 3 hrs?,je ambulances zilifika within 5mins?,je traffic cops walifika within 5mins?,hii ajali ni mbaya je air ambulance zilifika eneo la tukio?,kama haya hayakutokea elewa upo in a pithole country
 
Ajali ni tukio kama matukio mengine..

Kama ukipata nafasi ya kuchukua picha isiyo ya uchi au kuonyesha utu wake wa ndani basi hakuna tatizo lolote mbona open casket service mnamuona sura yake?

Mtu akiwa na accessibility ya kupata taarifa hasa za matukio ya kijamii kama haya ni vema watu kupata taarifa.
Yes but mpiga picha lazima aelewe mipaka yake ya upigaji picha
 
Back
Top Bottom