Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

Jeshi wangetoa onyo kwa jeshi la UVCCM Green guard maana linahusika na huo utapeli 100%
 
Medical Philosophy has it that, "at 40 no one is stable health-wise" Goodluck Jonathan, Mwai Kibaki, Levy Mwanawasa, Jacob Zuma, Museveni, Daniel Moi, Nelson Mandela, Hosni Mubarak, Siad Barre, Biden, Boris Yeltsin e.t.c, e.t.c provide case studies for this philosophy.
Hawakumuona wakati wa kampeni kuwa amechoka sana na hayupo fit kuwa Rais?

Kma walijua JPM hana muda mrefu ilikuaje wakaacha Rais dhaifu kma Samia achukue nchi? Kwanini hawaku reshuffle VP tokea nomination za CCM? Mfano US unaona kabisa yule Mama ni strategic kumrithi Biden in case lolote likitokea.

Tusidanganyane hakuna bipartisan Sytem ila CCM ndio ina system ndani ya JWTZ/TISS.
 
Chenga mingi huku Drc tunasema mikolo mingi papaa sheriii hii wangetoa hapa press conf kwenye mitandao tungesoma siyo kutupa tension za hovyo
 
Sio kwa TZ otherwise JK au JPM wasingeigusa ikulu. Yaani JWTZ inajua Rais yupo unfit kiafya ikubali agombee?

TZ ni kwamba Nyerere alijaza CCM kwenye taasisi zote so ni viceversa, kabla hujawa promoted JWTZ, hao CCM nao wanataka uwahakikishie maslahi yao kwanza.

Kma JWTZ ipo na vetting JK alifaa kuliko Dr.Slaa??
Mkuu JK si ni mjeda mwenzao tena kanali mstaafu wasingeweza kumuacha...
 
Jambo lakushangaza ni vijana toka jkt ndio wanatapeliwa kwa namna zilizosemwa na wakuu, sasa mtu unajiuliza inakuwaje hao vijana watapeliwe kwa namna hiyo?, Je ina maana wakati wakifanya mafunzo jkt hawakufundishwa maswala ya rushwa na viashiria vyake?

Au tuseme ndio kuna hako kautaratibu mahali alafu wakuu ama hawakijui au wanakifunika maana kijana wa jkt kutapeliwa hivi haiingi akilini ni mawili, ama kuna namna wanaingia hivyo au mfumo haupo wazi vyakutosha.

Anyway yote kwa yote, hii ni kashfa mbaya ni vizuri wakuu wamechukua hatua japo ni kama hatua za mwanzo.
 
..usinifokee.

..tujifunze kuthamini muda wa watu.

..taarifa waliyotoa haikuhitaji kuita press conference, badala yake press release ingetosha.
Wewe ndiyo wa kuamua hiyo taarifa haikuhitaji press conference? Wewe ni nani kwanza kuamua hivyo? Nani amelalamika kupotezewa muda?
 
Mkuu JK si ni mjeda mwenzao tena kanali mstaafu wasingeweza kumuacha...
Kumbe Ukiwa fisadi ila mwanajeshi basi system inakuachia tu uwe Rais?? Sasa ukowapi uadilifu wa jeshi kama chombo cha kulimda usalama whether kiuchumi,kijamii na kisiasa
 
Me maswali kwa mtu anayejua, nafasi za jeshi za kutolea mwaka huu zimetoka lini? Na kama bado hazijatoka je kuna uwezekano wa kutoka December hii?

Kwa mimi nilivyofutiliya mwaka jana mwez wa nane nafasi za jeshi za kujitolea (hiari)zilitoka watu wakaenda mafunzo mwaka huu mwez February wale waliofanikiwa kwenda walirudishwa nyumbani ( kwa mahesabu ya haraka hapo tokea mwezi a nane 2020 mpka February 2021 this year miezi sita ya mafunzo si yalikuwa yameisha?, april mwaka huu wakatangaza watu walikuwa kwenye mafunzo ya jeshi ya kujitolea waliripoti katika kambi zao za awali mwezi ujao ( mwezi wa tano 2021) mwezi wa 6 wale wanaondena kwa mujbu wale form & six ,

Swali langu kwa mwaka huu December hii wanaweza toa nafasi hzo maana kwa kufutilia kwangu hazijatoka nafasi za jeshi za hiar?
 
Back
Top Bottom